Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Wewe tena kungwi lao, ushavuluza mikole yote hakuna kinachokutisha!!!
Ya kus na kas wakuwachee!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio shupa wakiweka bibi unawapiga na joker Oyooooooooo!!
Treeeeenaaaa.....bado hujatheeemaaa mwari wangu, Hadi uthemeee🤣🤣🤣
 
Simu yako si ilikuwa na password lakin mpenzi...ukakataa kutoa password nijibip. Kumbe ulikuwa umenidondokea unakuja kunitangazia huku. Anyway kama bado upo haya maeneo tutaonana tu.
 
Bado mpaka mseme ,na hamjasema bado 😄😄

Vijana oeni,Wake wa kuoa ndio hawa
 
🤣🤣🤣🤣 Uongo!!! kiroho kinaruka hapo kipo kwa sisy Joh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…