Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Zamani kwenye nyuzi. Kuna boyfriend wako wa high school mlipendana sana , ukasikia ameoa, ila akija kwenye mkoa wako, akikupigia simu , unaenda lodge, mnapasha viporo. Labda kama kuna iron butterfly wawili humu.
Ahhh huyo ni kweli
Huwa tukikutana tnapasha kiporo
We hujawahi pasha kiporo?
 
Mke wa mtu kujiraisi namna hiyo ushamba namba kugawa kizembe uroda sindio shimbilo moja tu
 
Nimeanza kuamini ndoa ni Utapeli, ila navomjua Mungu, kama Hii stori si ya kutunga, atadakwa soon ili iwe fundisho kwa wote.
Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…