Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Habari za asubuh Wana ukumbi

Mweh mweh mweh Nimeingia Mwanza juzi kikazi Nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri bwiru hapo kwa matajiri(kwa wakwe zangu)

Nikaishia atm nitoe kasalio afu nipande boda nimfate shule twende home,wakati naifata atm nikapita Sehemu jirani na mama ntilie mmoja,nikapiga jicho,nikamwona kijana shababi anakula ugali mbogamboga,aliponiona,akaniita we sista njoo,nikamwambia eeh akanambia njoo,nikasema haya👌

Nikaenda akanambia waitwa nani? nikamjibu siongeagi na waume za watu,akanambia mi bachelor,nikamjibu ok ila mie siko singo,akasema usijal,waenda wapi?nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani ndo nimedondoka nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako,nikamwambia sitoi no kwa strangers,akachukua cmu yangu akajibip,akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba,lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu,nikamfikisha home,nafika tu nasalimiana na baba mkwe,jamaa anapiga,nikaomba udhuru nikatoka nje,then nikapokea cmu yake,akanambia ushampokea mtoto,nikamjibu Yap na Niko home,akanambia kamilisha ratiba afu unambia,akakata cmu.

Sikumtafuta manake Niko ukweni kapigaa weeh sijapokea Ila nimemwelewa,kumbe Kuna wasuk.uma mahandsome lol🤣

Sema kutoka kipengele manake Niko ukweni,natamani kukipambazuka nitunge Safari nionane naye,anaonekana mtamu kwa bed

Au nitakuwa nazingua Wana ukumbi?
Mke wa mtu kujiraisi namna hiyo ushamba namba kugawa kizembe uroda sindio shimbilo moja tu
 
Nimeanza kuamini ndoa ni Utapeli, ila navomjua Mungu, kama Hii stori si ya kutunga, atadakwa soon ili iwe fundisho kwa wote.
Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
 
Back
Top Bottom