RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Sasa hii stori ungeielezea mwanzoni tungekuelewa. Maana kama ishu ingekuwa nguvu za kiume, mbona watu wanazisolve sikuhizi.Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
Mkuu wa mahusiano unamaanisha nini?Mental health is still at large
Ni kweli Sista angu Sasa ngoja uwakute kwa MMU au Rikiboy kila week wao na Pisi mpya kimasihara sio ofisini ,viwanja 😅😅Imagine kuna wajinga wamemfata hadi pm kumtukana[emoji1787][emoji1787]
Kila siku tunawaambia humu ukiwa serious sana utakufa kwa presha
Kama ni mke wa kwanza, ni rahisi kurestore ndoa yake, Mungu anaweza mambo yote, ni suala la kumuamini.Zitafakarini njia zenu... Dhambi halipizwi kwa dhambi
Akapita katikati yakoZitafakarini njia zenu... Dhambi halipizwi kwa dhambi
Zitafakarini njia zenu... Dhambi halipizwi kwa dhambi
Hata mimi naona analipiza kwa hasira. She's heartbroken and mentally unstable kama alivosema, anaona kufanya hivi kutajaza ile pengo analolihisi, at the end of the day, mambo yanabaki vilevile kama mlevi anayelewa alafu akilevuka matatizo yanabaki palepale.Zitafakarini njia zenu... Dhambi halipizwi kwa dhambi
Unamaanisha kwamba?Wanawindwa watu wapigwe
Aiseee mwana anafaidi sasa, sema hajui kama atakula kumbe ni yeye tu.Yap kwa Mara ya kwanza nimelowa kwa stranger
Yani ule ujasiri wake ndo umenivutia
Kuwa huru aiseee wasikupangie maisha, hao wanaume wa hivo ni wambeya na wivu kama dada zao.🤣🤣 wanaume wa jf mnashangaza👌
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani🤣
Kabisa na anaona sifa hadi anasimuliaNimeona ni uchafu ila ni tabia na mazoea huwezi mbadilisha mtu aliengia kwenye hulka zake kutimiza haja zake ni Mungu mwenyewe ambadilishe
We una utaalamu gani wa uandishi?Wataalamu wa kuangalia tone za uandishi watakuja wazungumze jambo
Japo sijasoma ila kiukwel siku hz jua kali sana 🤔🤔 unaweza tumia kuwasha sigara
Kurudia kosa consistently ni upumbavu.Wanaume tuna ubinafsi sana .sasa kwani huyu dada kosa lake ni nini? Haruhusiwi kufol in love? Acheni uduanzi bana kama mazingira yanaruhusu kupiga game sioni tatizo kila mtu anakosea kwenye maisha haya sometimes.
Hee kumbe ndiyo tabia yake hiyo, basi sawa tumuache tu, au ni muongo tu anatuchora humu hata hayafanyi hayo anayoyasema🤔Alishawahi cheat mume wake na ex wake wa high school na aliandikaga humu.
Siku za mwizi ni 39,Moja anaijua Mungu. Soon atadakwa.
Nisaidie na wewe ndugu yanguWanaume tuna ubinafsi sana .sasa kwani huyu dada kosa lake ni nini? Haruhusiwi kufol in love? Acheni uduanzi bana kama mazingira yanaruhusu kupiga game sioni tatizo kila mtu anakosea kwenye maisha haya sometimes.
Muacheni tu, kashaamua .Kabisa na anaona sifa hadi anasimulia