RedPill Prophet
JF-Expert Member
- Apr 25, 2023
- 1,408
- 3,564
Sasa hii stori ungeielezea mwanzoni tungekuelewa. Maana kama ishu ingekuwa nguvu za kiume, mbona watu wanazisolve sikuhizi.Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
Kuna mama mmoja mume wake alikuwa wa roundi Moja , hakumcheat, akamtafutia dawa, wakaipata, sasahivi ni raha tupu na Wana watoto.
Ila kesi yako ni tofauti, we ni mke wa kwanza ama wa pili?