Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?
Sasa hii stori ungeielezea mwanzoni tungekuelewa. Maana kama ishu ingekuwa nguvu za kiume, mbona watu wanazisolve sikuhizi.

Kuna mama mmoja mume wake alikuwa wa roundi Moja , hakumcheat, akamtafutia dawa, wakaipata, sasahivi ni raha tupu na Wana watoto.

Ila kesi yako ni tofauti, we ni mke wa kwanza ama wa pili?
 
Siyo story ndugu
Jamaa tuliachana,nilimfumania,badae wazazi wake wakalazimisha ndoa ya kimila,kwakua tushazaa watoto wawili,Ila yuko daslam,na huko ana mke mwingine, inshort ana wake wawili,huwa naenda dizim na yeye huja huku niliko kikazi mara moja moja
Sasa kosa langu liko wapi?

Zitafakarini njia zenu... Dhambi halipizwi kwa dhambi
 
🤣🤣 wanaume wa jf mnashangaza👌
Kuna watu wananifata hadi pm kunitusi kisa hii thread lol
Mlidhani mie bikira Maria au?
Nishapenda Mimi,hivyo yaani🤣
Kuwa huru aiseee wasikupangie maisha, hao wanaume wa hivo ni wambeya na wivu kama dada zao.
 
Wataalamu wa kuangalia tone za uandishi watakuja wazungumze jambo

Japo sijasoma ila kiukwel siku hz jua kali sana 🤔🤔 unaweza tumia kuwasha sigara
We una utaalamu gani wa uandishi?
Ulisomea chuo gani?
Hiyo ni taaluma ya watu
Usilete kimbelembele wakati hata form four ulipata zero👌
 
Wanaume tuna ubinafsi sana .sasa kwani huyu dada kosa lake ni nini? Haruhusiwi kufol in love? Acheni uduanzi bana kama mazingira yanaruhusu kupiga game sioni tatizo kila mtu anakosea kwenye maisha haya sometimes.
Nisaidie na wewe ndugu yangu
Mie upwiru umenikaba ghafla🤣
 
Back
Top Bottom