Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Kuna wakati wapinga ndoa akina dronedrake mi nawaelewa. Ndoa za siku hizi hazina maana. Imagine huyu ndo mke wako dah! [emoji706][emoji706]
Ndoa zimekua ni taasisi za ufuska, ndoa hazina thamani kama hapo awali, hapo awali mtu ukioa yes tunasema sasa kijana kafanya maamuzi ya busara na ya hekima na binti yetu kajiheshimisha katika jamii na familia yetu, lakini siku hizi wanaongozwa kwa ngono chafu ni wanandoa yani mtu akigombana tu na mwenzake huyoo anaenda kutafuta mchepuko... Karne hii ndiyo neno mchepuko limekua kinara na kushika akili za watu wengi hadi watoto siku hizi wanajua neno mchepuko ni nini... Tuendelee kuelimisha lakini
 
Mnakuwaga washauri wazuri mada aina hii ikiletwa na ke ila ingekuwa me😂😂😂
 
Mwanaume mmoja hatoshi tunavumiliaga tu
Mwanaume mmoja asipokutosha inawezekana umeshamkinia au ... Your thoughts already underlined those words mwanaume mmoja hatoshelezi and you will never be satisfied utarukaruka kila mahali na utampa anaetaka, kuwa mwangalifu na maneno yako bcoz your body doesn't know the difference
 
Habari za asubuh wana ukumbi,

Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).

Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.

Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.

Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣

Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?

Hatubembelezagi.
Tunaongea tuu Pisikali mnababaika na kutoa namba za simu na mnachapika bila hata kuwapa sumni
 
Hawezi jua,ye Yuko daslam,mie mwanza,atajuaje?
Na mimi ukweni wananiamini manake niko mwaminifu na straight forward,hata akisema wazazi wake watamkatalia
Zana muhimu[emoji108]
Hakuna linalofichika hasa jambo la kiovu shetani anakuleta kwenye dhambi na atahakikisha inajulikana
 
Habari za asubuh wana ukumbi,

Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishiri Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu).

Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM nikapita sehemu jirani na mama ntilie mmoja, nikapiga jicho, nikamwona kijana shababi anakula ugali-mbogamboga, aliponiona akaniita we sista njoo, nikamwambia eeh, akanambia njoo, nikasema haya👌.

Nikaenda akanambia waitwa nani? Nikamjibu siongeagi na waume za watu, akanambia mi bachelor, nikamjibu ok ila mie siko singo, akasema usijal, waenda wapi? Nikamjibu namfata mtoto hapo shule niende naye nyumbani, ndio nimedondoka Nyegezi hapo.

Akasema ok nipe no yako, nikamwambia sitoi no kwa strangers, akachukua cmu yangu akajibip, akanambia baada ya lisaa ntakuchek mchumba! Lol nikacheka nikaondoka zangu kuendelea na ratiba.

Nikampokea mwanangu, nikamfikisha home, nafika tu nasalimiana na baba mkwe, jamaa anapiga, nikaomba udhuru nikatoka nje, then nikapokea simu yake, akanambia ushampokea mtoto, nikamjibu yap na niko home, akanambia kamilisha ratiba afu unambia, akakata simu.

Sikumtafuta maana niko ukweni, kapigaa weeh sijapokea ila nimemwelewa, kumbe kuna Wasukuma mahandsome lol.🤣

Sema kutoka kipengele maana niko ukweni, natamani kukipambazuka nitunge safari nionane naye, anaonekana mtamu kwa bed au nitakuwa nazingua wana ukumbi?
Maharange ya Mbeya..
 
Wala ni kweli
Jamaa tulisoma wote chuo kikuu
Mie nikaajiriwa serikalini ye hakubahatika
Nikampa idea ya kufungua kampuni ya aliyosomea,tulisoma course moja,nikawa Nampa michongo ya kazi,hadi kampuni ikasimama,na alivoanza pata visent ndo mizozo na kucheat vikaanza,so hanistui.
Pole sana, una roho ya kulipiza kisasi.
Mwanaume uliyempenda ndo amekuchange tabia, pole sana. Wengi wanakurukia kama malaya. Ila tatizo nikiongea chochote, yule Mungu asiyeonekana atanihukumu kuwa mkosa.
 
Binafsi mimi sikulaumu sana ninaangalia upande wa pili maana yawezekana huyo mme wako uliye naye hafanyi chochote labda ana changamoto ya tezi dume au ugonjwa wa kisukari kiasi kwamba anashindwa kutimiza majukumu yake ya kifamilia kwa upande wa mahusiano ya kingono.
Hata hivyo,kama huu ndiyo ukweli inabidi uwe na tahadhari mara unapotoka kuwa mbali na familia yako ukidhani sasa umepata uhuru.Uwe na mtu mmoja ambaye ni mwaminifu awe anakusugua kuondoa tamaa ya kushobokea wanaume eti kisa ni handsome over and out.
Usihisi na uka support no evidence no right to speak... Na hizo changamoto za mume wake hazijustify na kuhalalisha achepuke mna viapo mlivyokula vile viapo vya ndoa vinaishi mbinguni na duniani
 
Mazungumzo:
Mkaka Shababi: we sista njoo
Chuma Kipepeo: haya
Mkaka Shababi: waitwa nani
Chuma Kipepeo: siongeagi na waume za watu
Mkaka Shababi: mimi bachela
Chuma Kipepeo: mimi siko singo
Mkaka Shababi: waenda wapi
Chuma Kipepeo: kuchukua mtoto shule
Mkaka Shababi: ok, nipe namba yako
Chuma Kipepeo: sitoi namba kwa stranger
Mkaka Shababi anachukua simu ya Chuma Kipepeo anaingiza namba zake na kujibipu,
Mkaka Shababi: baada ya lisaa nitakucheki mchumba
Kipepeo Chuma: hehehehe haya

Hata wale wa Uwanja wa Fisi wanaringa ringa kidogo [emoji849]
Kuna kipande kakiruka huyo🤣🤣🤣 Haiwezekani.
Afu umeona Leo Leo anawaza aende akatoe au asitoe🤣🤣
 
Back
Top Bottom