Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

Unajua jana wakati nachat na yule mdogo wangu humu, nilivyomuambia atulie nitamsaaidia nilikua nafikiria kumuweka hapo kwa joannah, kumbe joanah tayari ana mtu[emoji23]
Makubwa laahulah!! Yani dada angu ukampe mshamba?!! Toka lini kaanza kufuga ving’asti?
Hebu mtake radhi Sisy Joh sio hadhi ya mshamba kabisaaa!!!
Huyo mshamba hata wanawake hajawajua vizuri, huyo asubiri first year hapo MUST ndio awe nao humu jf tumejaa mashangazi tupu, wengine wanamzaa huku wanapiga deki 😂😂😂
 
Makubwa laahulah!! Yani dada angu ukampe mshamba?!! Toka lini kaanza kufuga ving’asti?
Hebu mtake radhi Sisy Joh sio hadhi ya mshamba kabisaaa!!!
Huyo mshamba hata wanawake hajawajua vizuri, huyo asubiri first year hapo MUST ndio awe nao humu jf tumejaa mashangazi tupu, wengine wanamzaa huku wanapiga deki [emoji23][emoji23][emoji23]
Umri ni namba tu
 
Kwasie tukiofundwa hatusemagi ya chumbani
Ila kiufupi Yuko njema
Mashine nzuri,safi imenyooka na kushiba
Anajua kupiga Kik na anakojoza kwelikweli[emoji1787]
Upwiru umekataaa sasa hakuna kitu hapa umeweza na kuingia jf [emoji4][emoji4]
 
jamaa kaokota embe chini ya mnazi aisee,wasikuchanganye hawa members wa jf dada yangu nenda kampe tena umpeleke mpaka kule kwenye ule mtaa uliopo mbagala..maana kichwa chako kimejaa akili za kunyanduana tu..

mahandsome wapo wengi tena kuliko huyo kwa hiyo kila utakayemuona utampa?
 
Back
Top Bottom