Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Sio kweli?Mkeo mbea na mzushi sana ananisingizia kila wakati[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli?Mkeo mbea na mzushi sana ananisingizia kila wakati[emoji23]
Msamehe mwenzio kagoma kula anataka kufa kwaajiri yako 😂😂😂😂Mkeo mbea na mzushi sana ananisingizia kila wakati😂
Sio kweli?
🤣🤣🤣🤣Umepofushwa na mahaba wewe huwezi kusikia lolote
Ndio nakusikiliza ni kweli mtu wako?Umepofushwa na mahaba wewe huwezi kusikia lolote
Oooh mheshimiwa shem umenipa maneno ya matumaini sana,Kwa hii ahadi Yako ni mbele Kwa mbele kama CCM!Usirudi nyuma, ukikosa kabisa mm nitakutafutia sehemu nzuri[emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣Hataki!ila na wewe county si alikuachaga?Leo mmerudiana?hayana muongozo bhanaIla yamekukuta dada 😂😂😂
Pole mtafute umbembeleze mrudiane jamani
Unakosea, mapenzi ni hisia ya mtu usinilazimishe ukifanikiwa kumshawishi Missy Gf yaani mama Elusha wangu akaniacha, natafuta pisi nyingine kali zaidi.😂😂😂 Usiteme big g kwa karanga za kuonjeshwa!!
Bff Missy Gf muachie mume mwenzio atajiua huku 🤣🤣🤣
Huyo anakuchora, hapa anakutetea lakini pm anakazia hukumu kuwa nisigeuke nyuma🤣🤣🤣🤣🤣Hataki!ila na wewe county si alikuachaga?Leo mmerudiana?hayana muongozo bhana
Nilijiuliza sana!Alikuita kwa kujiamini coz alishakuona kua wewe ni cheap na unakamatika kirahisi tu,ungekua umejiweka kiheshima asingekuita hivyo,unaitwa na mtu yupo bandani anakula ugali na mboga kisha unajipeleka kama Mbwa kaona chatu,
Eti nikamkatalia kumpa namba akachukua simu akajibipu!!
Muite dronedrake Mzee wa Tunza Kibunda chako aje atie neno🤣🤣🤣🤣 hatareeee!!
Subiri mitume ya Yesu ije kukuletea makasiriko!!
Nyie kina Petroooo🗣️🗣️🗣️
Yuda karudi, kashatoka kuchukua vipande vyake thelathini, mna lolote la kusema 😂😂😂
Wazo zuri!Kama umeolewa hapo ulikosea,ungezaa tu halafu uishi singosingo yaani uwe singo madha.Ungeinjoi sana,full kupishanisha madogo,mababa,wazee n.k nyumbani kwako.Wadada au wamama wa hivi,wanafaa sana,ile mtumishi katoka zake kijijini huko,badala akalale loji,anakuja kwako,anakula wewe na msosi,asubuhi anaenda kwenye mishe zilizomleta mjini,akimaliza anasepa.Wanawake wa hivi mnafaa sana,hata watoto wa kiume wanaobalehe inafaa wawe wanawatafuta wanawake kama nyie,wanajifunza kupeleka moto,halafu wanaenda kuoa wanawake wa aina nyingine,yaani wa ndoa.
Yes kama hakuona thamani yako achana nae, thamani yako ni kubwa sana.Oooh mheshimiwa shem umenipa maneno ya matumaini sana,Kwa hii ahadi Yako ni mbele Kwa mbele kama CCM!
Kwa hiyo hapa anavyohubiri mwanaume lazima akuhonge kumbe anapotosha tu UMMA?ama Kweli za kuambiwa changanya na zakoThanks mi pia nakukubali, kusema ukweli huyu pesa wala hapendi sana ni maneno tu. Ila anajua sana kuzitafuta pesa na pesa zinamfata kweli. She's very bright