Mwanza: Polisi wauzingira Ukumbi litakapofanyika Kongamano la Katiba Mpya

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639


Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la Katiba Mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilitarajiwa kufanyika leo.

Kuna zaidi ya askari polisi 200.
 
Wanaweza kuzingira ukumbi, lakini hawawezi kuzingira akili za watu wanaodai katiba mpya.
Hv kwa akili yako ww......
unategemea kabisa CCM waruhusu mikutano ya katiba!!?
wakubali ku surrender their political power through constitution ili CDM mpate nafasi ya kuwatoa CCM kwenye madaraka!!?
thubutu......
labda CCM ya Kenya manake huko nako kuna CCM
 
Kitaelewaka tu.
 
Hakuna usiku tu duniani,na mchana upo.
IPO siku kwa ccm itakuwa usiku na kwa wapinzani itakuwa mchana
 
Kweli rais alisema Mimi na magufuli ni kitu kimoja je tulimwelewa au la?
Labba Nina swali kwenu Wana jf.kama anatoa amri kwa haya yanayoendelea kuzuia shughuli za kisiasa Sasa anaongoza nchi kwa katiba gani aliyoapia kuilinda?mbona tayari hapa anavunja haki za watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…