4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
BWANA he nchi yetu wote , watawala hujidanganya wote KWA Mambo mepesi Sana ,Mama alisema "ukinizingua nakuzingua"
BWANA he nchi yetu wote , watawala hujidanganya wote KWA Mambo mepesi Sana ,Mama alisema "ukinizingua nakuzingua"
Alimwonya mwendazake kwamba akiendelea kuonea watu atakufa. Na kweli amekufa.Alitabiri nini nabii Lema
Sisi wa gugambwige tulipitwa
Acha upuuziHawavunji sheria.
hahahhh hilo hata mimi nalisemaga maccm kuondoka madarakani labda kwa nguvu ya wananchi lasivyo hakunaHv kwa akili yako ww......
unategemea kabisa CCM waruhusu mikutano ya katiba!!?
wakubali ku surrender their political power through constitution ili CDM mpate nafasi ya kuwatoa CCM kwenye madaraka!!?
thubutu......
labda CCM ya Kenya manake huko nako kuna CCM
Usilaumu ndo walinzi wako nandokazi inawaelekeza(PGO)Hahahaha yaani ukiwa akili ya kipolisi pole yako....kama robot vile
Katiba ya nchi haidaiwi kwa makongamano ya chama fulani kimoja kwa masilahi yake huku wakiwa wamevaa yunifomu nyekundu. Kuvaa nguo nyekundu wanashiria wako tayari kumwaga damu za watanzania ili kutimiza lengo lao hilo. Waanze kwanza wao kumwaga damu zao. Polisi wanawasubiri hapo Turist Hotel kuwasaidia kumwaga hizo damu zao. Tunatumaini watajitokeza.Wanaweza kuzingira ukumbi, lakini hawawezi kuzingira akili za watu wanaodai katiba mpya.
Rasmi sasa kuwa Samia ameamua kujiandikia obituary yake mwenyewe mapema. Mungu hataniwi.View attachment 1861973
Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la Katiba Mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilitarajiwa kufanyika leo.
Kuna zaidi ya askari polisi 200.
View attachment 1861973View attachment 1861981View attachment 1861982View attachment 1861983View attachment 1861984
Hakuna haja ya kutumia busara Wakati DJ Hana busara,undava undava tu.Ni lini Makongamano yamekuwa dhambi? Busara zitumike na sio maguvu.
Very sad commentHakuna haja ya kutumia busara Wakati DJ Hana busara,undava undava tu.
Shubamiti
Ingia barabarani meku, twende tukamuokoe mwenyekiti.Ni lini Makongamano yamekuwa dhambi? Busara zitumike na sio maguvu.
CDM maneno mingi, matendo 0, wanaogopa sana virungu na kulala mahabusu!Hao watu wako wapi, ingieni barabarani sasa.
Wazee wa MAANDAMANO ONLINE 🤣