KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,364
- 6,264
Mimi hua Sielewi ,mtu anaweka bandiko Ili watu wachangie,ukiwa na mawazo tofauti anakutukana,sasa kaliweka la nini😂😂😂,,,,,Ahaaa, hasira za nini?
Mimi hua Sielewi ,mtu anaweka bandiko Ili watu wachangie,ukiwa na mawazo tofauti anakutukana,sasa kaliweka la nini😂😂😂,,,,,Ahaaa, hasira za nini?
Ohh kumbe aliibiwa kura!Yeye alivyoibiwa kura mbona alikimbilia ubalozini badala ya kuingia barabarani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake?
Duu acha madharauu jombaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ndio maana brother aliwahi kuniambia nikiwa mdogo kuwa kazi za kiaskari ni za watu wasio na akili sawasawa.
Ni za watu wasioweza kuamua, kazi yao kubwa ni kusubiri amri tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ingia barabarani meku, twende tukamuokoe mwenyekiti.
Hayo ni majinga Sana aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Polisi bhana! Badala ya kuungana na Watanzania wenzao na hao Chadema kudai Katiba Mpya, ili na wao siku moja waheshimike!
Wanaona bora waendelee tu kuwa Chawa wa ccm!! Viumbe wa ajabu sana hawa.
[emoji23][emoji1787][emoji23]LEO NDIO NIMEFAHAMU UKIVAA NGUO NYEKUNDU UNA NIA YA KUMWAGA DAMU..AISEE,valentine sivai tena red,NITAWASHAURI LIVERPOOL WAVAE NYEUSI
Duu acha madharauu jombaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😀 😀 😀 Kina faru John wanaakili gani inayofaa hata kuizingira?. ShameWanaweza kuzingira ukumbi, lakini hawawezi kuzingira akili za watu wanaodai katiba mpya.