Mwanza: Polisi wauzingira Ukumbi litakapofanyika Kongamano la Katiba Mpya

Mwanza: Polisi wauzingira Ukumbi litakapofanyika Kongamano la Katiba Mpya

Hv kwa akili yako ww......
unategemea kabisa CCM waruhusu mikutano ya katiba!!?
wakubali ku surrender their political power through constitution ili CDM mpate nafasi ya kuwatoa CCM kwenye madaraka!!?
thubutu......
labda CCM ya Kenya manake huko nako kuna CCM
Hawa ni wajinga hawawezi kukuelewa


USSR
 
Polisi bhana! Badala ya kuungana na Watanzania wenzao na hao Chadema kudai Katiba Mpya, ili na wao siku moja waheshimike!

Wanaona bora waendelee tu kuwa Chawa wa ccm!! Viumbe wa ajabu sana hawa.
Heshima ya maandamano unawaza kwa kutumia makalio wewe


USSR
 
Kama mchakato wa katiba mpya ulishaanza na rasimu ikapatikana, almaarufu rasimu ya warioba......kuna shida gani kuzindua rasimu ya warioba kuwa katiba mpya, wananchi wapewe nakala ya hiyo rasimu, wapewe muda hata kama ni mwaka mmoja wasome waielewe hata kama watapata ushauri kwa wanasheria, baada ya hapo ipigiwe kura ya maoni (referendum)......yaani ni jambo rahisi kabisa ambalo haliwezi kuzuia nchi kujenga uchumi.
Kwa nini Lissu asiandike rasimu (draft) yake ya katiba mpya, wananchi wakapewa mwaka mmoja wakaisoma na kuielewa, baada ya hapo wananchi wakapiga kura na mambo yakaisha .... jambo rahisi sana. Rasimu ya Lissu si ndiyo itakuwa bora zaidi kuliko hiyo rasimu ya Waryoba? Kwa nini unaipenda sana hiyo rasimu ya Waryoba ambaye ni wa ccm na juzi hapa tumemsikia mwenyewe Waryoba akisema hiyo rasimu yake haifai, imeshapitwa na wakati.
 
Kwa nini Lissu asiandike rasimu (draft) yake ya katiba mpya, wananchi wakapewa mwaka mmoja wakaisoma na kuielewa, baada ya hapo wananchi wakapiga kura na mambo yakaisha .... jambo rahisi sana. Rasimu ya Lissu si ndiyo itakuwa bora zaidi kuliko hiyo rasimu ya Waryoba? Kwa nini unaipenda sana hiyo rasimu ya Waryoba ambaye ni wa ccm na juzi hapa tumemsikia mwenyewe Waryoba akisema hiyo rasimu yake haifai, imeshapitwa na wakati.
Lissu kaingiaje hapa, tumia akili kidogo basi hata ya kuvukia barabara....
 
LEO NDIO NIMEFAHAMU UKIVAA NGUO NYEKUNDU UNA NIA YA KUMWAGA DAMU..AISEE,valentine sivai tena red,NITAWASHAURI LIVERPOOL WAVAE NYEUSI
Damu inayochemka wakati wa Valentine day ina sehemu zake za kumwagikia. Siyo hiyo damu ya hawa jamaa wanaoongea kwa hasira, mapovu yakiwatoka mdomoni na mishipa ya shingo imewatoka! Polisi lazima iwadhibiti kabla hawajaingia mitaani kama walivyokusudia na wametamka hivyo hadharani.
 
Lissu kaingiaje hapa, tumia akili kidogo basi hata ya kuvukia barabara....
Ameingia kwenye rasimu ya Waryoba mnayoidai ipigiwe kura na wananchi ili iwe katiba mpya. Bado hujaelewa?
 
Jamaa hawajapata mazoez muda mrefu...kuna recruited vijana wapya ngoja wapate uzoefu
 
Juzi Mbowe alisema atakuwa wa kwanza kwenda kukamatwa na polisi na hatataka kuomba au kuombewa dhamana. Mbona hadi sasa hajajitokeza pale Tourist Hotel ambapo polisi wanasubiri? Yaani hata Heche na umura wake naye ameshindwa kujitokeza? Walitaka akina nani sasa wajitokeze kwenda kupigwa mabomu ya machozi na kulazwa kwenye sakafu za mahabusu. Nadhani wananchi na wafuasi wa chadema wameelewa sasa hawa watu ni wa aina gani. Tusidanganyishwe na hawa watu.
 
Where is Mbowe?

Eti haijulikani alipo?

[emoji24][emoji24][emoji24]
 
View attachment 1861973

Askari Polisi waliojihami kwa silaha za moto na mabomu ya kutoa machozi wamezingira na kufunga njia za kuingia na kutoka Hoteli ya Tourist eneo la Kitangiri jijini Mwanza ambako Kongamano la Katiba Mpya lililoandaliwa na CHADEMA lilitarajiwa kufanyika leo.

Kuna zaidi ya askari polisi 200.
View attachment 1861973View attachment 1861981View attachment 1861982View attachment 1861983View attachment 1861984
Jeshi la polisi linaingia katika mtego wa kijinga kabisa. Wanapotandaz jeshi likiwa na silaha za moto huku vyombo vya habari vikipiga picha zanazorushwa duniani kote, nani anapata mileage? Kumbuka hawa watu walitaka kufanya mdahalo wa ndani kuhusu dai la katiba. Kama CCM haitaki katiba ni sawa tu maana katiba haiwezi kupatikana kama wao hawataki. Kumbuka wao ndo wana serikali na wanamiliki vyombo vya dola. Lakini kwa nini wakataze wengine hata kujadili? Mara zote ni bora kutumia busara kuliko nguvu!
 
Back
Top Bottom