peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kuna ukoo Huku Tanzania hauruhisiwi kujiajiri, Ila kuajiriwa na serikali tu. Mwingine mkuu wa mkoa,mwingine TISS , mwingine PCCB Ila ukitafuta baba yake haonekani anasikika mama tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
! dhambiChalamira Ni mwizi[emoji1787][emoji1787]
Huyo amekaa masaa machache mnoAliyezitafuna sio yule wa Iringa kweli
Da!!!!ni huyu kumbe?. Nchi hii inaangamia kwa sababu ya CCM.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel Luhumbi,kuna fedha ulizitafuna mkoa wa geita milion 600 kutoka mgodi wa GGM . Kamati ya uchunguzi imemaliza kazi?