Kuna ukoo Huku Tanzania hauruhisiwi kujiajiri, Ila kuajiriwa na serikali tu. Mwingine mkuu wa mkoa,mwingine TISS , mwingine PCCB Ila ukitafuta baba yake haonekani anasikika mama tu.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel Luhumbi,kuna fedha ulizitafuna mkoa wa geita milion 600 kutoka mgodi wa GGM . Kamati ya uchunguzi imemaliza kazi?