Mwanza, Shinyanga na Musoma: CCM ikishinda uchaguzi ujao naahidi kujiondoa JF

Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Ushauri wako una kasoro/upungufu.

Hujashauri chochote juu ya Tume na Polisi. Utategemea vipi CCM wapate shida kwenye uchaguzi wa aina yoyote wakiwa na nyenzo hizo!
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hivi upinzani mnaoujua ni wa watu walewale na chama kilekile kinachofeli kila mbinu?
Jiongezeni buana

Wapenzi watazamaji tunatamani kuona mchuano wa siasa za kuvutia sio zile za kuishi ubelgiji na kutaka urais wa Tanzania

Kinuju YEHODAYA Crimea na Jumbe Brown siempre

mama D Kinuju YEHODAYA Crimea na Jumbe Brown siempre siempre wameususa uzi wako.

Ifike mahala muwe na macho beyond Chadema
 
Unamaanisha CHADEMA wachukue nchi?,ofisi tu yamakao makuu imewashinda tangu chama kianzishwe,watawezaje kusimamia miundo mbinu ya nchi.
Nafikiri Jimbo la kule Nkasi linawatosha,nchi iachiwe wanaume.
 
Wewe ni mpuuzi na mjinga, yaani kwa akili yako mbovu unajua watu wote ni wajinga sio? Hata ungekuwa wewe hivi unaweza chagua machadema uache ccm iliyowahakikishia wananchi huduma za afya,maji,elimu na barabara? Ukinijibu nitag
Uwezo wako wa kufikiria haulingani na mwili wako
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Umelewa wewe kwani Tanzania kuna uchaguzi?
 
Kama chama hakina mipango ya kesho kwanini kiogopwe kwenye uchaguzi huru na wa haki? Kudai Katiba mpya na Tume huru ni mipango ya miaka chungu nzima ijayo ili kuhakikisha chaguzi zetu ni huru na za haki badala ya maccm kubaki madarakani kwa njia za haramu za wizi, uporaji na mtutu wa bunduki.

Shida inaanzia hapa, Ndio CCM iko taabani je tuchague chama gani sasa kilichojipanga kushika dola? kushika dola sio bahati mbaya bali ni mipango na maadalizi yaliyokomaa..

yaani unataka uwape nchi hawa wazee wa matukio? chama kisicho na mipango ya kesho, chama kisicho na uongozi madhubuti kutoka juu mpaka chini huko...hapo ndipo wengi tunakosa option na kuamua kutopiga kura..
 
Kama chama hakina mipango ya kesho kwanini kiogopwe kwenye uchaguzi huru na wa haki? Kudai Katiba mpya na Tume huru ni mipango ya miaka chungu nzima ijayo ili kuhakikisha chaguzi zetu ni huru na za haki badala ya maccm kubaki madarakani kwa njia za haramu za wizi, uporaji na mtutu wa bunduki.
Bak nakuheshimu, niko yemen leo nimelewa sana nitaongea na wewe in box sorry... you are long time member of this group...
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾 Nakuheshimu pia Mkuu. Lala sasa usije ukaandika madudu Mkuu.

Bak nakuheshimu, niko yemen leo nimelewa sana nitaongea na wewe in box sorry... you are long time member of this group...
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hizi hekaya ni za kila mwaka
Ilishafanywa operesheni Sangara,lakini tukaishia kulaumu tume
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Ha ha kwa maendeleo yanavyokuja maza atachukua za hatari

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
The late alitoa favours nyingi ukanda huo, mama anachukiwa huko kwa sababu wanaona mambo hayaendi kama zamani,
 
Uliwahi kuona Mwalimu Nyerere ana msafara wa gari hata 10?
Nikajua una hoja ya maana kumbe upuuzi.Kuwa na msafara wa magari ndio tatizo kwako? Kizazi kipya uwaambie stori za Mwl Nyerere ndio itakusaidia kupata kura? Acha upuuzi na stori zako za zilipendwa.

Tutawachagua wanaofanya haya 👇

Screenshot_20211024-064109.png

Screenshot_20211024-064158.png
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Ikiwa tu WAPINZANI WATAKUWA ANA AKILI VIZURI WAPINZANI NI WAGANGA NJAA UTASIKIA WANASEMA WANANUNULIWA JE? HIKI NI CHAKUWA ELEZA WATU KUWA TUNA NUNULIWA

KWANINI WASIWAKATALIE JAMBO KAMA HILI

AU WAO WAENDE WAWANUNUE CCM

ILI WAJIIMALISHE VIZURI
 
Back
Top Bottom