Mwanza, Shinyanga na Musoma: CCM ikishinda uchaguzi ujao naahidi kujiondoa JF


Kama ni kwa njia ya kura ni kupoteza muda maana CCM huwa wanatangazwa washindi bila kushinda. Cha kufanya anzeni sasa kuwazomea viongozi wa ccm, na kuwasusia kwenye mikutano na vikao vyao mbalimbali. Hiyo 2025 susieni uchaguzi na kuwaambia kabisa jambo tayari kuongozwa na wao bila ridhaa yenu. Kiongozi wa ccm akiwa na shughuli ya kijamii kama sherehe, msiba nk msihudhurie. Mkifanya hivyo akili zitawarudia.
 
Nje ya ccm hakuna chama ni heri hao hao ccm kuliko Wahuni

Haya ndio matamanio yako yanayoenda tofauti na ukweli. Inaumiza kukutana na ukweli huu, lakini iko wazi CCM sio chama tena cha kizazi hiki, na kupora uchaguzi sio jambo wanalolipenda, lakini inabidi wapore tu maana wanaona aibu kushindwa, na wana hofu wakitoka madarakani wataishia jela kwa wizi walioufanya.
 
Anachukiwa Samia au CCM?
Na kama anachukiwa Smia unajua kama atarudishwa kugombea?
Na unajua CDM watamteua nani kugombea?
Ajabu CDM watamrudisha Tundu!!
 
Hakuna kitu kama hicho ccm haishindi kanda ya ziwa yooooteeee. Labda nje ya sanduku la kura. For sure wamekosea hesabu zao
Wewe ndiyo msemaji wa watu wa kaunda ya ziwa? Acha ramli chonganishi
 
Matusi?Walikutukana weye?Orodhesha hayo matusi tukupe pole.
 
Hao wanafiki sana, walijidai sana kipindi cha mwendazake. Wanachukia nn sasa
 
Hata Iringa. Mpaka DC inatoka oveseas. Hahaaaaaaaa
 
Hivi wanaoitwa mazuzu ni wa chama kipi bila shaka wanapita bila kupingwa
 
Utakuwa mgeni na tume ya uchaguzi.
Kwani huwa wanatangaza mshindi wa kweli?!!!
 
ASSUMPTION: In-case there's going to be a FREE & FAIR election.
 
Tume hii ya kada wa ccm Mahera halafu ashinde mpinzani hahaaa ndoto za mchna hizi, kwanza hangaya na jiwe wote lao moja hawezi akakuteua na utangaze mpinzani
 
CCM wanajiaminia Diallo na Gachuma,Ila Samia kanda ya Ziwa hakubaliki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…