CHadema kupata ushindi mpaka iachane na watu wafuatao ili ishindeKwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Are you stupid? Hii chio sio Mali ya ccm chama chakavu Tunataka katiba mpya na tume huru.Katiba haipigi kura wabunge zaidi ya 60 wa upinzani kabla ajavuruga nchi si walipita kwa katiba hii hii.
Bhageshi mkotalwa ndilo do gete Lokubha ..pyee no kono Mbeya Katavi Rukwa mkena keno pyee gasamaga...Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Twa samaga pyee Kanda ya ziwaNadhani anaota,nauliza tuu wewe unaweza chagua chadema Ili uvumbue nini hasa?
Rudia kusoma post kwa utulivuAre you stupid? Hii chio sio Mali ya ccm chama chakavu Tunataka katiba mpya na tume huru.
Tumedanganywa sana kwa muda mrefu kiasi tunaamini uwongo, ukweli ni kuwa hatuna upinzani imara wa kuweza kupata matokeo hata sehemu uwezekano upo.Mleta uzi unasahau kuwa CCM ndio inaandaa uchaguzi,inasimamia na kumtangaza matokeo. Hivyo kuishinda CCM mpaka kufumua mfumo mzima mana iko wazi siku zote chaguzi zote hawajawahi kushinda Ila wanatangazwa kwa hila. Tume hii ya Kaijage tusubiri sana. Ni ukweli mchungu lakini ndo hivyo tunaishi nao. Matumaini yapo kwa Mungu kama aliangusha jiwe hata hayo mengine yana siku zake.
Hii mada yako ingekuwa valid kama kungekuwa na uchaguzi wa kupiga kura na kuhesabu kura za aliyeshindaKwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!
Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.
Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Mnaandika sana bila kuwa na uhakika na mnacho andika na ubishi usio na kichwa wala miguu, mikoa ifutayo Magufuli alikuwa na waumini na wala sio tuu wapenzi,.Kwani yule dikiteta alikuwa anashinda? We vepe?
Ni bora hata Samia anaeleweka. Yule dikiteta ilikuwa vituko na aibu tu!
Si kwa ajili wanaiba au??CCM haihitaji Kura za yeyote ili ishinde uchaguzi wowote!! Amka Mkuu.
Samia atatumia njia za JPM.Ila kama kitakuwa na uchaguzi wa haki. Basi CCM itapoteza majimbo mengi sana.CCM haihitaji Kura za yeyote ili ishinde uchaguzi wowote!! Amka Mkuu.
Shida inaanzia hapa, Ndio CCM iko taabani je tuchague chama gani sasa kilichojipanga kushika dola? kushika dola sio bahati mbaya bali ni mipango na maadalizi yaliyokomaa..
yaani unataka uwape nchi hawa wazee wa matukio? chama kisicho na mipango ya kesho, chama kisicho na uongozi madhubuti kutoka juu mpaka chini huko...hapo ndipo wengi tunakosa option na kuamua kutopiga kura..
CCM ilishapoteza toka 1995.. Basi tu Mkuu.Samia atatumia njia za JPM.Ila kama kitakuwa na uchaguzi wa haki. Basi CCM itapoteza majimbo mengi sana.
Ndio Mkuu... Kuiba.. na kuingiza mabegi ya Kura feki.Si kwa ajili wanaiba au??
Kwahiyo Kanda ya ziwa ndio usukumani ?Yani wasukuma Baada ya Magufuli kutangulia na akaja Samia na kwa tamaduni za huku wanaonaga wanawake kama hawana lolote sa ndio hicho hata mama wanamtazama tu huku hawamuelewi..tena asilimia kubwa Wanawake weng ndio hawamkubali mama usukuman