Ubaguzi umeanza lini ktk Nchi yangu TANZANIA?Ilishabarikiwa siku nyingi,
sema Mungu ilinde Chadema.
N
Nyie Mataga ,ndiyo tatizo lenu kufikili kwa kututumia matako yenu,
Hapa mlikuwa hamjazaliwa?
Mbona uwanja umeandikwa CCM kirumba? Je hiyo sio siasa michezoni?
Nasikiavyo amri ilitolewa kwa ajili ya mechi hiyo tu - kuna mechi nyingi zimechezwa hapo watazamaji walivaa hizo Tshirt lakini policcm haikuwazuia.
Ajabu sana. Vaa hizo Tshirt, tembea barabarani, ingia cinema, majumba ya starehe, kanisani, etc lakini mpirani HAPANA.
Watu watakaomharibia Mama kupata sijui tuzo ya Mo, sijui ya Nobel ni hawa hawa policcm kutokana na uminyaji wao wa haki za raia.
Mark my word
Vipi wale wanaovaa zile za "mchague mwendazake" na wagombea wa kijani,wanazuiwa???
Vipi pia kanuni za soka letu zinakataza hyo? Maana sheria za nchi yetu hazina shida na hilo.
Mbona wachezaji wanacheza wakiwa na jezi zenye picha ya Samia na ujumbe wa kisiasa? Hawa watu ni zaidi ya hovyo!Ahaa ahaaa nimecheka kwa nguvu, hapo ndio wanakuambia CDM imekufa. Cha ajabu hawataki hata watu kuonekana na alama hizo.
Baada ya kumshindwa kumfunga Mahakamani kwa kesi ya urongo mmehamia na propaganda uchwara hizo eti Mbowe aibe fedha Chadema hata haya hamna. Wezi wapo CCM huko hata juzi tuu waziri wenu mkuu alikuwa Arusha huko anasema Kuna watu wanatafuna fedha ma CCM yote ni majizi Sana. Mbowe hana shida ya hivyo vipesa wew kibwetele angekkuwa kanjanja Kama wewe angekubali kununulika na ndo maana mmejaribu mbinu zote kumtisha kunyanyasa, kuharibu Mali, mkashindwa Sasa mkeubali kukaa mezani na mwamba kuzungumza.
Acha tu kaka, yaani ni bonge la ujinga.Mbona wachezaji wanacheza wakiwa na jezi zenye picha ya Samia na ujumbe wa kisiasa? Hawa watu ni zaidi ya hovyo!
Ukorofi' hii tune nimeipendaWaache ukorofi wakabadili nguo yaishe
Wachapwe bakora hao BAVICHA .Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Hivi hicho kijamaa kikamanda upande wa kulia kinaitwaga nani??
Polisi wa kisengelema ni tatizo kwa taifa, wengi wao bado wanaamini rais bado ni MagufuliPolisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Sare tofauti na hizo ruksa?Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Hao Polisi wanazingua.....wangewazuia na Yanga waliocheza na fulana zenye picha ya Rais wakati wa birthday yake.Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Huu ni ushamba wa kizamani mnoooPolisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.
Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Inabarikiwa Inshallah [emoji1545]Mungu ibariki Chadema