Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

Ilishabarikiwa siku nyingi,
sema Mungu ilinde Chadema.
Ubaguzi umeanza lini ktk Nchi yangu TANZANIA?

Vp wachezaji Yanga walovaa tsht za mkt Anaupiga mwingi'' mbona mechi ikiendelea kama kawa?

Viongozi wanaoshiriki mazungumzo wazidi kuwa makini sababu KIJANI hawaonyeshi kuwa na Nia ya dhati juu ya KATIBA mpya.

Ukipanda UPEPO, utavuna DHORUBA.

Tupo MAGOTINI, MUNGU atajibu.
 
Hii mechi kubwa jombaa makosa kidogo- tu unasababisha mauaji
Nasikiavyo amri ilitolewa kwa ajili ya mechi hiyo tu - kuna mechi nyingi zimechezwa hapo watazamaji walivaa hizo Tshirt lakini policcm haikuwazuia.
Ajabu sana. Vaa hizo Tshirt, tembea barabarani, ingia cinema, majumba ya starehe, kanisani, etc lakini mpirani HAPANA.
Watu watakaomharibia Mama kupata sijui tuzo ya Mo, sijui ya Nobel ni hawa hawa policcm kutokana na uminyaji wao wa haki za raia.
Mark my word
Vipi wale wanaovaa zile za "mchague mwendazake" na wagombea wa kijani,wanazuiwa???
Vipi pia kanuni za soka letu zinakataza hyo? Maana sheria za nchi yetu hazina shida na hilo.
 
Polisi wasifanye mambo kwa hisia. Wawasiliane na wanasheria wao ili watamke ili wapate mwongozo kujua kama kuna sheria za nchi, FIFA au TFF zinazozuia watu kuingia viwanjani wakiwa wamavaa mavazi yanayowazuia watazamaji kuvaa mavazi ya aina fulani. Vinginevyo, Polisi nduo wanageuka kuwa wahalifu.
 
Ahaa ahaaa nimecheka kwa nguvu, hapo ndio wanakuambia CDM imekufa. Cha ajabu hawataki hata watu kuonekana na alama hizo.
Mbona wachezaji wanacheza wakiwa na jezi zenye picha ya Samia na ujumbe wa kisiasa? Hawa watu ni zaidi ya hovyo!
 
Uwanja ni CCM KIRUMBA alafu unaingia na sare za ...
 
IBARIKIE KWA LIPI NA WIZI WENU

View attachment 2242149
Baada ya kumshindwa kumfunga Mahakamani kwa kesi ya urongo mmehamia na propaganda uchwara hizo eti Mbowe aibe fedha Chadema hata haya hamna. Wezi wapo CCM huko hata juzi tuu waziri wenu mkuu alikuwa Arusha huko anasema Kuna watu wanatafuna fedha ma CCM yote ni majizi Sana. Mbowe hana shida ya hivyo vipesa wew kibwetele angekkuwa kanjanja Kama wewe angekubali kununulika na ndo maana mmejaribu mbinu zote kumtisha kunyanyasa, kuharibu Mali, mkashindwa Sasa mkeubali kukaa mezani na mwamba kuzungumza.
 
Lakini sasa kwenye mpira na hayo mabo ya katiba mpya wapi na wapi jamani?
 
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.

Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Wachapwe bakora hao BAVICHA .
 
Polisi wa kisengelema ni tatizo kwa taifa, wengi wao bado wanaamini rais bado ni Magufuli
 
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.

Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Sare tofauti na hizo ruksa?
 
Hao polisi ni wapuuzi mbona mechi nyingi tu tunaona picha na mabango ya Ccm uwanjani,
 
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.

Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Hao Polisi wanazingua.....wangewazuia na Yanga waliocheza na fulana zenye picha ya Rais wakati wa birthday yake.
 
Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga.

Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani
View attachment 2242126
Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda kuwaruhusu hadi Wavue nguo Walizovaa zenye viashiria vya Siasa.
Huu ni ushamba wa kizamani mnooo
 
Back
Top Bottom