Ubaguzi umeanza lini ktk Nchi yangu TANZANIA?Ilishabarikiwa siku nyingi,
sema Mungu ilinde Chadema.
Vp wachezaji Yanga walovaa tsht za mkt Anaupiga mwingi'' mbona mechi ikiendelea kama kawa?
Viongozi wanaoshiriki mazungumzo wazidi kuwa makini sababu KIJANI hawaonyeshi kuwa na Nia ya dhati juu ya KATIBA mpya.
Ukipanda UPEPO, utavuna DHORUBA.
Tupo MAGOTINI, MUNGU atajibu.