Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Tumia Akili kwani zinazuia mpira kuchezwaWaache ukorofi wakabadili nguo yaishe
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia Akili kwani zinazuia mpira kuchezwaWaache ukorofi wakabadili nguo yaishe
Wangevaa za royal tour wangezuiwa?Wakabadili nguo huo niukorofi
Kwani katiba mpya inaihusu nini Chadema! Katiba mpya ni ya wote.Waache ukorofi wakabadili nguo yaishe
Hizo ni harakati za CHADEMA kwasasa kwahiyo usilete ujuaji kwenye masuala ya usalamaKwani katiba mpya inaihusu nini Chadema! Katiba mpya ni ya wote.
Nchi Imekuwa Ya Ajabu Sana, Wanataka Royal Tour Part IIIIHalafu utafikiri huo uwanja wenyewe ni mali yao basi! Kumbe wamejimilikisha tu kinyemela.
Huo uwanja ni wa CCM, Unaitwa CCM Kirumba, hivyo wasingezuiliwa.Je wangeingia na nguo za ccm wangefukuzwa?
Mapolisi wetu wamwkulia ktk ujinga wa hali ya juu
Kama wewe tu certified idiot.Hayo machadema ni majinga
Kwani walienda kufanya vikao vya kuhusu katiba mpya uwanjani au ni nguo walikua wamevaa?.Kama tukianza kua na akili ndogo za kuogopa maandishi ambayo sio matusi basi tutakua taifa la ajabu.Lakini sasa kwenye mpira na hayo mabo ya katiba mpya wapi na wapi jamani?