Mjini lazima kuwe na heka heka mojawapo ni hayo Makelele. Msitulazimishie kuishi kinyonge nyonge. Mbona hata hayo makanisa na misikiti yenu nayo Yana Makelele ambayo wengine yanatukera?Hilo sio tatizo letu, ni tatizo la wenye mamlaka wanayaogopa hayo makanisa, Sisi kama wananchi tunataka kelele ziishe ziwe za makanisa, bar, mashine, bodaboda, wale vijana wa hovyo wa alteza na subaru etc š¤£
Serikali iache double standards, wamefungiwa walipa kodi, hao wezi wa sadaka wanaachwa kwanini!
Bora waambiwe kelele zisizidi masaa ma3 kwa siku, tena mchana.