Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Mjini lazima kuwe na heka heka mojawapo ni hayo Makelele. Msitulazimishie kuishi kinyonge nyonge. Mbona hata hayo makanisa na misikiti yenu nayo Yana Makelele ambayo wengine yanatukera?
 
Wapumbavu Kwa lipi? Ukishatoa kibali Kwa watu kufanya biashara ya baa uwaache wafanye biashara Kwa matakwa ya biashara hiyo. Wateja wanainjoi na kunywa zaidi wakisikia makele. Acheni hizo nyie wanywa juice.
Acha kukariri wewe kwamba wanywaji wote wa alcohol wanapenda makelele.
Wewe utakuwa goloko flani,
Makele sio mazuri Kwa afya yako
Hao wenye mabar wanaopenda kupiga muziki Kwa sauti ya juu waweke sound proof
Miziki vingine mikubwa hadi unajiuliza wanaoishi Jirani na hapo wanaishije?
 
Naishi Nyasaka centre mziki Bundesliga ukipigwa utafikiri spika ipo dirishani
 
Niache kukariri? Shauri yako na Kwa vile wafungiaji Wala hawakuwa na sababu za msingi imebidi waufyate. Sasa hivi mambo kama Kawa, hutaki mziki acha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…