Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

Mwanza: Waziri Mkuu azuia paspoti 7 za wakandarasi wa Meli ya MV Mwanza

Hivi PM ana uhakika kuwa hiyo 80% inayodaiwa kulipwa, ililipwa ?

Huko TEMESA kulikuwa na upigaji wa 5G chini ya mfalme wa chato kipindi chake, so ahakikishe anachokisema ni sahihi kwamba walilipa hiyo 80%

Maana huyu PM amekuwa si mtu wakuaminika, a good liar.!
Kwahiyo wewe unadhani Kaenda Kichwa kichwa
 
Hivi PM ana uhakika kuwa hiyo 80% inayodaiwa kulipwa, ililipwa ?

Huko TEMESA kulikuwa na upigaji wa 5G chini ya mfalme wa chato kipindi chake, so ahakikishe anachokisema ni sahihi kwamba walilipa hiyo 80%

Maana huyu PM amekuwa si mtu wakuaminika, a good liar.!
Mkuu wewe unamawazo ya ki,,,nga wewe bila kutaja huyo mfalume wa chato huamini anayoyasema PM
 
Hangaya kapiga 1000,majaliwa kapiga 10,000 walisikika wananchi wakishangilia na kuimba.
 
Leo kawa Majaliwa wa Magufuli, siku nyingi amekuwa Majaliwa wa Samia na kutufanya tusijue kama yupo
 
MTAKUJA KUJENGEWA MELI MUOGO MZAME NAYO KWA UTAHIRA WENU..!

MIAKA 6O YA UHURU HAMNA MAINGINIA WA KUJRLENGA MELI.
Kutengeneza pamba za vidonda hatuwezi alafu wewe unawaza Meli mbali kote uko
 
Haiingii akilini kabisa, kontracta afanye alivyofanya bila kuwepo na sababu ya kufanya alichofanya.

Naegemea zaidi kuamini ulichoandika hapa.

Hawa watu wanaweza kuwa wanafanya siasa kwenye mambo ya namna hii?
Yote yawezekana, hivyo vikampuni vidogo tokea mwanzo vilionyesha kusua sua.
Kisingizio kilikuwa Covid-19,meli ndogo kujengwa miaka 5 siyo sawa.

Pili usimamizi labda una mkono wa kisiasa,sijaona kama tulikuwa na competent ship builders kusimamia miradi hiyo.
Hadi waziri mkuu anawazui wakorea wasitoke Mwanza ni kwamba hapakuwepo ufuatiliaji kwa mikutano ya pammoja inayotakiwa kufanyika kila siku kubaini kazi zilizopangwa na zilizofanyika.
Wangeweza kubaini Key performance Indicators zikoje?
Sasa tunaambiwa wapo 65% badala ya 95%
kwanini?
Hii itaishia mahakamani and most likely serikali itashindwa kwa kuwapa watu butu kusimamia mradi mkubwa.
 
80 % imeshalipwa alfu mtu anatak kutoroka nnchi mmmh mm sijui iko vip bilion 70 unalipa alfu Kaz imefika aslimi 65 alfu Bado rais anaongea utopolo had tuna fika 2025 watz watakuwaktk Lind la umasiki mkubwaa
 
Kwanini hatukua na option ya ku import ready made, sina uhakika na wataalamu haoa nchini janja janja nyingi watatua
 
Watu walio karibu na Waziri Mkuu wamshauri vizurI. Passport ni mali ya nchi iliyotoa hiyo Passport. Serikali moja haiwezi kuchukua mali ya nchi nyingine kwa kick za kisiasa. Ni wizi. Wakorea wanaweza kulalamika ikaleta shida.
 
Hivi PM ana uhakika kuwa hiyo 80% inayodaiwa kulipwa, ililipwa ?

Huko TEMESA kulikuwa na upigaji wa 5G chini ya mfalme wa chato kipindi chake, so ahakikishe anachokisema ni sahihi kwamba walilipa hiyo 80%

Maana huyu PM amekuwa si mtu wakuaminika, a good liar.!
Sitomsahau alivyosema Magu ni mzima na anapiga kazi na kwamba ametusalamia..kumbe ukweli jamaa alikua anapigania uhai ni bora angesema ukweli tumuombee.
 
Kuna jambo limejificha hapa. Kama Mkandarasi aliwahi kucheleweshewa malipo ana haki ya kudai riba kwa malipo yaliyocheleweshwa na gharama za ucheleweshaji huo.

Aidha, kuna kitu kama Covid kinaweza kusemwa kuwa ni force majeure na hivyo kumpa haki mkandarasi ya kuongezewa muda na gharama kuhesabiwa upya. Na mshitiri utamlazimishaje mkandarasi kuajiri wafanyakazi? Sasa kama kazi zilizobaki zinahitaji mafundi wenye ujuzi fulani kwa nini aendelee kuwa na lundo la wafanyakazi. Idadi ya wafanyakazi sio ishara ya ufanisi.

Mwisho, je serikali ina mamlaka ya kushika passport iliyotolewa na nchi nyingine. Ni yale yale ya kutaka kulazimisha kitu ambacho kilitakiwa kimalizwe kwa majadiliano ya faragha na kuheshimiana.

Amandla...

Cc. Nguruvi3 JokaKuu
 
Watu walio karibu na Waziri Mkuu wamshauri vizurI. Passport ni mali ya nchi iliyotoa hiyo Passport. Serikali moja haiwezi kuchukua mali ya nchi nyingine kwa kick za kisiasa. Ni wizi. Wakorea wanaweza kulalamika ikaleta shida.
Korea ya Kusini si ndio ilitusaidia kujenga Tanzanite bridge na moja ya flyover?

Amandla...
 
Haiingii akilini kabisa, kontracta afanye alivyofanya bila kuwepo na sababu ya kufanya alichofanya.

Naegemea zaidi kuamini ulichoandika hapa.

Hawa watu wanaweza kuwa wanafanya siasa kwenye mambo ya namna hii?
Ni mbinu za walamba asali kuua legacy. Hasa kwenye miradi ambayo 10% ilishaliwa na watu wa mwendazake
 
Yote yawezekana, hivyo vikampuni vidogo tokea mwanzo vilionyesha kusua sua.
Kisingizio kilikuwa Covid-19,meli ndogo kujengwa miaka 5 siyo sawa.

Pili usimamizi labda una mkono wa kisiasa,sijaona kama tulikuwa na competent ship builders kusimamia miradi hiyo.
Hadi waziri mkuu anawazui wakorea wasitoke Mwanza ni kwamba hapakuwepo ufuatiliaji kwa mikutano ya pammoja inayotakiwa kufanyika kila siku kubaini kazi zilizopangwa na zilizofanyika.
Wangeweza kubaini Key performance Indicators zikoje?
Sasa tunaambiwa wapo 65% badala ya 95%
kwanini?
Hii itaishia mahakamani and most likely serikali itashindwa kwa kuwapa watu butu kusimamia mradi mkubwa.
Kuna tatizo kubwa katika utendaji huko serikalini. Na siyo kwamba ni tatizo jipya, ila sasa linazidi kuwa baya zaidi, sijui kwa nini.

Ngoja niingize jambo jingine linalo tudidimiza zaidi kutokana na uzembe huu.

Miradi yote hii inayofanyika sasa ilitakiwa ichangie sana kuinua pato letu la kila mwaka kadri ilivyokuwa inakamilika. Lakini kwa kusuasua huku, 'boost' iliyotegemewa itakuwa hafifu sana kwa upande huo.
 
Back
Top Bottom