Yote yawezekana, hivyo vikampuni vidogo tokea mwanzo vilionyesha kusua sua.
Kisingizio kilikuwa Covid-19,meli ndogo kujengwa miaka 5 siyo sawa.
Pili usimamizi labda una mkono wa kisiasa,sijaona kama tulikuwa na competent ship builders kusimamia miradi hiyo.
Hadi waziri mkuu anawazui wakorea wasitoke Mwanza ni kwamba hapakuwepo ufuatiliaji kwa mikutano ya pammoja inayotakiwa kufanyika kila siku kubaini kazi zilizopangwa na zilizofanyika.
Wangeweza kubaini Key performance Indicators zikoje?
Sasa tunaambiwa wapo 65% badala ya 95%
kwanini?
Hii itaishia mahakamani and most likely serikali itashindwa kwa kuwapa watu butu kusimamia mradi mkubwa.