Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

Serikali ya awamu sita ukiiangalia unaweza kudhani Corona ipo Serikalini tu si mtaani kwa hayo mabarakoa wanayovaa utadhani wapo operation theatre room
Washajifunza,Kuna tahira mmoja aliivimbia Covid19 na kuidharau science, kilichompata imekuwa historia,

Alijimwambafai mbele ya science,
 
HAKUNA JIJI CHAFU ILA WAKAZI WA JIJI NDIO WACHAFU NA WEWE UKIWEMO-ONA AIBU
 
Serikali ya awamu sita ukiiangalia unaweza kudhani Corona ipo Serikalini tu si mtaani kwa hayo mabarakoa wanayovaa utadhani wapo operation theatre room
Hayo yanavaliwa akiwepo Rais tofauti na hapo watu hawana shida na barakoa, sasa sijui Rais ana corona ndio maana wakiwa karibu nae wanajikinga.
 
Ila wapangaji wa ratiba ya Rais mbona hampi mda wa kupumzika daily jamani !! au nae ashauriki? Maana tangu ameapishwa ni M4C
 
Washajifunza,Kuna tahira mmoja aliivimbia Covid19 na kuidharau science, kilichompata imekuwa historia,

Alijimwambafai mbele ya science,
Unamzungumzia Maalim seif?

Barakoa za kuvaa anapokuwepo rais tu huko ndio kujifunza au usanii?
 
Jf imeingiliwa na vizazi vya FACEBOOK, mtu timamu awezi kufurahia kifo cha mtu, ni ujinga na upumbavu tu.
Ila mtu timamu ni yule anakejeli afya ya mtu sindio?????
Nyie wapuuzi simlikuwa mnamkejeli Mzee wa watu Lowasa kuwa hawezi kupewa nchi maana afya yake ipo ICU??!! ETI nchi apewe JPM na isitoshe atake asitake tutamuongezea muda atawale milele!!, Saizi eti mlivyo wanafiki mnajifanya ndio mnajua kuwa Kuna uhai na kifo" bustard
 
Kwanini hukumshauri haya Chalamila?
 
Kama bingwa wa kushangilia vifo, mbona ushangilii cha Baregu?
 
Namzungumzia mungu wenu ,au mliekuwa mnamuita "CHUMA iko"
Huyo alishachanjwa chanjo ya corona kisirisiri ile ya China sasa nakushangaa unavyosema kafa na corona, mtu ambaye kafa na corona na kifo chake hakina shaka ni Maalim seif wa Zanzibar huyu ndio kaugua corona na akafariki.

Kwani wewe mungu wako yupi yule mungu wa chama mwenye kutawala milele au yule mungu wa sheria kuliko miungu yote ya sheria?
 
Sasa utajuaje kama wanawake wakiwezeshwa wanaweza.
Haya BWANA, ila kiongozi wa nchi lazima apate mda wa kurelax ,siku moja moja wananchi wamuone pale CHAMWINO akipalilia mboga za majani, asiwe Kama mwendazake ,mda wote yupo na mafaili zaidi ya miambili mezani, huku daily ziara kibao , pamoja na tatizo la moyo ila stress zilichangia Sana ambazo alizitaka mwenyewe
 

Mkuu tuachaneni na nadharia nyepesi nyepesi hizi kuhusiana na kifo.

Mtumishi mmoja makini wa Mungu alitamka haya:

Your browser is not able to display this video.


Pana vifo aina nne:

1. Uzee (wa miaka ma Mia wako hapa)
2. Vya kusababishwa na kusababishiwa (wa viroba wako hapa)
3. Mapenzi ya Mungu (vya kina Nyerere viko hapa).
4. Vya kijinga (kudharau corona vipo hapa).

Abarikiwe sana mtumishi huyu kwa kutuwekea wazi rejea mantarafu kama hizi.

Cc: Bepari wa Bariadi
 
Usihofu mbona mama huwa anapata muda wa kupitia maudaku huku mitandaoni hivyo huwa ana relax kabisa.
 
Sasa Kama alichanjwa chanjo ya Covid19 kwa Siri, nyie misukule wake mbona mnapinga chanjo!!?
 
Mh. Rais, Mama SSH. Mama uliebarikiwa kuliko wanawake wengi, Mama katika ziara yako hii muhimu sana kanda ya ziwa, wengi tunatarajia kusikia hekima na busara zako katika kuponya Taifa hili haswa kwa mambo ya kishenzi kama ya ukabila, ukanda, upendeleo, ubaguzi, kufifisha mtawanyo wa miradi kitaifa kulingana na vipaumbele n.k. Kanda hii JPM aliitumia vibaya sana kwenye kukuza hayo yote niliyotaja na ambayo sikujaaliwa kuyataja. Mungu akupe nguvu, busara, weledi na uthubutu wa kupambana na hao wahafidhina wachumia tumbo wanaokunguka wasiopenda mabadiliko ili uweze kujua jema na baya kwenye mambo aliyoyaacha JPM, na uone njia sahihi ya kufuata. Mungu mbariki Mh. SSH, bariki Tz, bariki watu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…