mekuoko
JF-Expert Member
- Nov 15, 2012
- 416
- 365
Ukweli anaujua Mungu na Mwendazake. Na hautabadilika kwa kuwekewa maneno yeyote yale. Kama ni Aterio Fibrilation au Corona au vyote viwili, hao wawili wanajua. La msingi kifo ni kifo tu.Huyo alishachanjwa chanjo ya corona kisirisiri ile ya China sasa nakushangaa unavyosema kafa na corona, mtu ambaye kafa na corona na kifo chake hakina shaka ni Maalim seif wa Zanzibar huyu ndio kaugua corona na akafariki.
Kwani wewe mungu wako yupi yule mungu wa chama mwenye kutawala milele au yule mungu wa sheria kuliko miungu yote ya sheria?