Mwanza: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Samia Suluhu. Azindua Kiwanda cha Kusafisha dhahabu na Jengo la (BoT)

Ukweli anaujua Mungu na Mwendazake. Na hautabadilika kwa kuwekewa maneno yeyote yale. Kama ni Aterio Fibrilation au Corona au vyote viwili, hao wawili wanajua. La msingi kifo ni kifo tu.
 
Sasa Kama alichanjwa chanjo ya Covid19 kwa Siri, nyie misukule wake mbona mnapinga chanjo!!?
Sasa hauoni kama chanjo ndio itakuwa imemuondoa maana huo ugonjwa wa moyo alikuwa nao miaka yote ila baada ya kuchanjwa ndio kafariki, kwahiyo kifo chake ndio kinazidisha sisi kupinga hizo chanjo maana tumeona kilichotokea kwa mpendwa wetu.
 
Ukweli anaujua Mungu na Mwendazake. Na hautabadilika kwa kuwekewa maneno yeyote yale. Kama ni Aterio Fibrilation au Corona au vyote viwili, hao wawili wanajua. La msingi kifo ni kifo tu.
Kwahiyo unataka kusema Aliyekuwa Daktari wake pia hajui ukweli?
 
Kwa mama kadri wanavyomuombea mabaya yatawafika wao, maana Madam president ana hofu ya Mungu sio Kama yule dikteta
Mama mwenyewe unayemsifia aliteuliwa na unayemtukana. Huo ni uendawazimu
 
Huu ndio utoto na upumbavu ulio ambiwa! Kutwa kucha Unapigana na maiti! Marehemu hayupo tena duniani, lakini wewe bado hupati usingizi! Subiri safari yako ya kuzimu - na itafika, ila maumivu utakayo Pata kabla, ndiyo hayajulikani! Ila utajutia matendo yako haya ya kumsimanga maiti.
 
Kwa utukufu gani aliokuwa nao yule mungu wenu,kiasi mtu akimsimanga aje ajutie eti,

Kumbe nyinyi mmevurugwa !!

wakuogopwa kusimangwa labda Lowasa, maana waliomsimanga juu ya afya yake wengi wapo mavumbini,na Wengine hawana vyeo tena
 
Vipi mabango yenye matusi kama yalivyoombwa na bwana Chalamila, halijaonekana hata moja?
 
Kwahiyo unataka kusema Aliyekuwa Daktari wake pia hajui ukweli?
Inawezekana alijua, ila si unajua ilikuwa awamu ya wataalamu kuacha taaluna na kugezwa wahubiri wa cha kuambiwa? Na pia ilikuwa funika kombe mwanaharamu aende zake!!?

Au hukumsikia Prof. Kabudi, Bashiru, Bashite, Mwigulu, PM, Chalamila!!! Wote walituaminisha wameongea nae na yupo ikulu anachapa kazi kupunguza mlundikano wa files!!! Hukusikia!!
 
Tatizo hapa ni hiyo imani ya kuhusisha kifo cha Magufuli na corona basi,tutabishana sana tu hapa kama haielezwi kwanini mfikirie kuwa kifo chake kinahusiana na corona? sasa kama sababu yenyewe ni et alidharau corona ndio maana kfa na corona basi ni upuuuzi mtupu.
 
Wapi kapigana na.mwendazake hapo..! Ujinga mliufanya wenyewe kumtukuza shujaa wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…