Lamisa Danish
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 284
- 627
kutuombea misaada sisi vijana wa Tanzania , hasa kwenye eneo la kuboresha mazingira ya biasharaAmeenda kufanya nini hasa?
Nyuma ya Max kuna Washington MonumentHongera yake, ila ulijuaje kama apa Whitehouse mkuu mana wengine sisi ni washamba.
Pembeni ya Washington Monument kuna maji hayo yakifuatiwa na Lincoln MemorialWhite House unaijua tu...Anglia ule mnara mweupe nyuma unauona sana ukiangalia movie za zilizochezwa mazingira hayo ni upo mbele ya maji yaliyo kama swimming pool ndefu ubaadhi wake mwisho hayo maji makumbusho ya ikuru na ubaadhi wake mwengine wamwisho ndio ikuru yenyewe kama kwenye movie ya Olimpus has fallen unadondoka uwo mnara.
Mim ni mfanyabiashara wa Kimataifa niliyesafiri nchi kadhaa duniani , nayafahamu maeneo mengi maarufu duniani
Ngoja wajeAishukuru serikali ya awamu ya tano imemfikisha marekani lakini utakuta wanaipinga huku wanakula mema ya dunia
Wewe unakusaidia nini kuweka uzi wa uongo namna hii?Uongo utakusaidia nini ?
White House unaijua tu...Anglia ule mnara mweupe nyuma unauona sana ukiangalia movie za zilizochezwa mazingira hayo ni upo mbele ya maji yaliyo kama swimming pool ndefu ubaadhi wake mwisho hayo maji makumbusho ya ikuru na ubaadhi wake mwengine wamwisho ndio ikuru yenyewe kama kwenye movie ya Olimpus has fallen unadondoka uwo mnara.
Ila we jamaaMim ni mfanyabiashara wa Kimataifa niliyesafiri nchi kadhaa duniani , nayafahamu maeneo mengi maarufu duniani