Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Kakutana na wafupiKafika majuu kawa mrefu au ni mimi macho yangu
huu ndio mfano halisi wa utumwa ni fikra! Kwani sasa nani kakuzuia kujiachia kistaarabu! Kama vipi omba ukimbizi ukaishi huko basi!Naomba trump ampe host ya JF uko USA na wafungue office uko uko ili tuwe free kabsa kuanzisha mada na comments
Huyu jamaa ni kichwa sana sema yupo Nchi masikini ambayo inawachukia watu wenye akili wanapewa kesi za ajabu ajabu tuu...
[Nchi inayoongoza kwa kuwapa watu wenye akili kesi za ajabu ni Marekani. Mfano mzuri uanze kwa Saddam Hussein]