Kama mamlaka za ndani hazitaki kuona, kutambua na kuheshimu juhudi zetu, acha mamlaka za nje zitupe heshima hiyo.Kama vijana tutaona kilele cha mafanikio yetu na furaha yetu ni kutambuliwa na kuheshimika na mamlaka kuu za nchi za nje basi kiusalama tunakuwa number one threat.
mkuu ongeza sauti hapo kwenye awamu ya 5hongera sana bossi.
pongezi kwa awamu ya tano kwa kufadhili safari hii. 😂😂
Wakati huo huo wanapokea fedha kutoka kwa huyo huyo Beberu!Ajiandae kuambiwa anatumiwa na mabeberu.
SawaKwenda hapo ikulu SIO inshu sana kama mnavyodhani hata WEWE unaweza tuma maombi NA ukaenda kutembea hapo ikulu,
Kama wewe siyo mutu ya Mara basi wewe muyu ya Kigoma...mnapenda sana kuwashughulikia watani zenu ha ha haaa!Karefuka kwa ajili ya furaha ulishawahi kufanya jambo ukasifiwa basi ukitembea bichwa unaliona kuuubwa kama unapaa hewani
Sawa sawaMim ni mfanyabiashara wa Kimataifa niliyesafiri nchi kadhaa duniani , nayafahamu maeneo mengi maarufu duniani
Bora aisee akaelezee hii mambo kwa Beberu Mkuu
Ila hao mnaojiita LGBT msinipige mawe!Ili mradi tu asituletee demokrasia ya kizungu ya kutetea wafirwaji Na wafiraji!!! Eti wao hujiita LGBT!!! Vinginevyo abaki huko huko!
Kama vijana tutaona kilele cha mafanikio yetu na furaha yetu ni kutambuliwa na kuheshimika na mamlaka kuu za nchi za nje basi kiusalama tunakuwa number one threat.
Wewe unakusaidia nini kuweka uzi wa uongo namna hii?
Meya wa arusha, kipenzi cha wanaarusha amewapungia..mkipungiwa na nyie pungeni.
Hongera Max..suti imekukaa mubashara!
Kila la kheri kwake akaitangaze vyema Nchi yetu nzuri ya Tanzania