Kwanini umesema hivyo? Mimi nimekuuliza tu kuwahunaga jema wewe
Hlf hiki kisirani chako ndicho kinachonifanya Nikupende sana.hunaga jema wewe
unapenda kunichokoza sana
unapenda kunichokoza sana
Mi labda niulize kwani kwa tafsir yako mkuu ina maana gani? , mbaya au ?boraaa kuliko mkuu kwakwel
I love you too Tajiri, ww niite vyovyote tu, maana humu kwenyewe majina fake Halafu nikupangie jina zuri la kuniita, mkuu iko Poa kwa jinsia zote lbd tu pm ukija na mitongozo basi badili jina au sio!