Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Kwanini umesema hivyo? Mimi nimekuuliza tu kuwa

"Kwanini ninyi watoto wa kike msipropose jina mnalolipenda kuitwa badala ya kuitwa Mkuu"
acha nianze kulitafuta
 
Hongera kwa kupata mtongozo Mkuu..

Wenzako mitongozo waiskia kwa radio..
 
I love you too Tajiri, ww niite vyovyote tu, maana humu kwenyewe majina fake Halafu nikupangie jina zuri la kuniita, mkuu iko Poa kwa jinsia zote lbd tu pm ukija na mitongozo basi badili jina au sio!


mie ht pm ita mkuu sion ishu !
 
Back
Top Bottom