Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Ni mama mtu mzima kama 40+ halafu mimi ndio kwanza nabalehe
Hapo kabla mawazo yako yalikuwa yanakutuma kwa binti mkaliii!!. Miba miba kwenye nyama za mbavuni!! πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Mtoto wa juzi kama yupo JF na anabehave vizuri kwani shida iko wapi..kwani JF ina age restriction??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…