Cowman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 1,715
- 3,158
Jamaa angu imekaa KISUKUMA sanaTuitane jamaa badala mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa angu imekaa KISUKUMA sanaTuitane jamaa badala mkuu
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mashana jr jina kubwa sana hili hapa jf.
Ha ha ha haaa umeona??Ni mama mtu mzima kama 40+ halafu mimi ndio kwanza nabalehe
Hahahaaa...Jamaa angu imekaa KISUKUMA sana
Nahisi ni roho ya mwanaJF alietangulia ila kuna Kazi haijakamilika Ndo mana roho yake haiishi kuvinjari humu!Hii mada kama jini kisirani ikifa inafufuka
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji38]Nahisi ni roho ya mwanaJF alietangulia ila kuna Kazi haijakamilika Ndo mana roho yake haiishi kuvinjari humu!
Unafaa kuitwa mkuu
sawa mkuuUnafaa kuitwa mkuu
JF NI ZAIDI YA GOOGLEHii mada kama jini kisirani ikifa inafufuka
Hapo kabla mawazo yako yalikuwa yanakutuma kwa binti mkaliii!!. Miba miba kwenye nyama za mbavuni!! 😀 😀 😀Ni mama mtu mzima kama 40+ halafu mimi ndio kwanza nabalehe
Mkuu Ndugai.Wengine wanakuwa wanatukana ...wanamaanisha ....ndu..so be careful sio kila anaekuita mkuu anamaanisha