Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Mwanzilishi wa jina "Mkuu" kwenye majukwaa Mungu anakuona.

Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.

Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
Poa mkuu ngoja waje
 
hahahahaaaaaaa 😀😀😀😀😀😀😀😀
Ila on the serious note nashauri username na avatar mnazotumia ziwe zinaendana na jinsia ya ke.Hapo utaona mnaanza kuitwa mamii, dear, dada ,bby,anti na kadhalika.
 
I love you too Tajiri, ww niite vyovyote tu, maana humu kwenyewe majina fake Halafu nikupangie jina zuri la kuniita, mkuu iko Poa kwa jinsia zote lbd tu pm ukija na mitongozo basi badili jina au sio!
Poa mkuu, mapeema after dinner ntakuinbox[emoji111]
 
Kwakweli nachukia hii tabia ya Kaka zetu Jf kumuita mwanamke "Mkuu" kwenye haya majukwaa, tutafutien jina lingine jamani, kama tuko jeshini.

Wengine mtu mpaka anakutongoza pm anaweka swaga za mkuu hii ni hatari kabisa. Mmekosa kabisa jina la kutupatia zaidi ya kutupa hili jina?? itaneni wenyewe kwa wenyewe kwakweli.
nikikuita lile lingine kabla hujabadilisha hili nitakuwa sawa bibie au?
 
Back
Top Bottom