Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

Mwanzo mwisho jinsi Filamu ya Moana ilivyotengenezwa. What a masterpiece!

Huu ndio wimbo nilioupenda zaidi kwenye Moana, jinsi huyo crab anavyoringa nilikuwa nacheka sana.

Umeandika vizuri 👏🏽👏🏽
shoga angu mimi wa maui akimkaribisha moana you are welcome
 
Updates.
Moana 2 itaachiliwa December 27 mwaka huu. But kutokana na hili muvi ya moana ambayo sio animation imebidi isogezwe mbele mpaka july 2026. Tuombe uzima tufike huko
Official Trailer

View: https://youtu.be/IcM9aj5nUI8?si=26YELnzlppGA6z0W

Moana sikua mpenzi wa animation best friend alinishawishi nikakutana na moana sasa ivi nmekua teja kuliko yeye.
Bravoo.

Keep us updated, thanks.

Naipenda hiyo katuni...


Cc: Mahondaw

🙏🙏❤❤😊😊

maui akijiandaa kupigana na teka?? sijui itakuaje
 
Back
Top Bottom