Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

Mwanzo wa kufeli kiuchumi Serikali ya awamu ya sita

Yaani umeandika togwa tu,hakuna substance,mdororo wa uchumi tz umetoka wapi,Nani kakwambia upo?...mega project ipi ambayo haieleweki muelekeo wake
 
Nchi yenye ardhi nzuri kwa kilimo Karibu asilimia 88%,bado inaagiza mbolea ila inakopa ma trillion ya pesa kwa ajili ya kujenga madarasa na matundu ya vyoo. Tatizo la Tanzania sio pesa, hii nchi haina viongozi wenye maono ya kuivusha nchi hii. Wachumia tumbo wote.
Gharama ya kizazi kukosa elimu ni kiasi gani!?...weka kwenye tsh
 
Lazima wafeli maana nchi ina watu zaidi ya milioni 60 lakini kuna kakikundi kadogo sana ka watu tena ambao uelewa wao unatia shaka wanadai ndio wenye chama na chama ndio chenye nchi.
Hawa pamoja na kusingizia awamu iliyotangulia eti ndio imetufikisha hapa na vita ya Ukraine lakini akina TL na wenzao walivyoamka kupinga na kuishia kitiwa vilema na kupotezwa hawakufanya chochote kielelezo kwamba hata sasa hawawezi, sanasana ni kutuongezea matatizo.
 
Nchi hii inakabiliwa na matatizo matatu U J I N G A,, M A R A D H I ,,,,,U M A S I K I N I

Kwa sasa kila mtanzania ataguswa direct,, nadhani sasa akili ya watanzania itakaaa sawa.
 
Mkuu ushindi wa CCM huamuliwa kwenye sanduku la wapiga kura?

2020 Samia Suluhu akiwa makamu alipata kusema,

Hata mkichagua vyama vingine CCM itaenda kuunda serikali yake
Ndo mana maendeleo ni kwa mwendo wa kobe tz
 
Hiizi propaganda za kijinga kabisa.... Swali ni kwamba je bado tupo uchumi wakati??
Mimi na wewe nani mjinga? Kwamba ukweli siku hizi ni propaganda au?

Uchumi wa Kati au kushoto au whatever kama hauwezi wafaidi watu ni useless.

Uchumi uliofeli unaweza zalisha ajira kama hivi? 👇

Screenshot_20220406-152348.png

Screenshot_20220406-153302.png

Screenshot_20220406-153337.png
 
Ndio ni mafanikio kwani zilikuwepo? Tuonyeshe na wewe za kwako hata moja au wewe mwenyewe ndio jobless?
Nimetengeneza ajiria zaid10 wote wanategemea pesa yangu mwisho wa mwezi....

bado nasisitiza mazingira kwa sekta binafsi kutengeneza ajira bado ni ngumu na pia makusanyo ya serikali hayajakaa kustimulate uchumi zaidi ya kudororesha
 
Mdomo kila mtu anao.Pili unaweza tengeneza ajira kama uchumi wa Nchi ni mbaya ? Hilo linahitaji uchumi wa Kati? 😄😄😄😄😄😄😄😄
 
Nchi hii inakabiliwa na matatizo matatu U J I N G A,, M A R A D H I ,,,,,U M A S I K I N I

Kwa sasa kila mtanzania ataguswa direct,, nadhani sasa akili ya watanzania itakaaa sawa.
Tuamke sasa tunapelekeshwa mnoo
 
Back
Top Bottom