MAJANGAMAJANGA
Senior Member
- Feb 13, 2013
- 179
- 92
Mkuu haya tuambie wewe jinsi unavyofahamu wengine wapate kuelewa maana nimchanganyiko sasa unaotaka kuzaliwa hapa.

Sasa mkuu Rakim samahan naomba kuuliza ulisema hiyo crown chakra ya utosini ni majini a mi ndio sijakuelewa vizuri na kama ni spirit hizo majin hii sini hatari majini tena si mchezo na ninavyoelewa mimi kila kitu kinafaida na hasara je hasara zake ni zipi kwa maana tusiangalie faida tu tuangalie na hasara zake kabla mtu hujaanza kumeditate shukrani sana mkuu
Anza Nayo Leo Night Ukiingia Kulala Usingoje Umechoka Sana Lala Chali hakikisha huumii sehemu Yoyote Vuta Pumzika Kama Mara Kumi 15 Sio Mbaya Na Hakikisha Unauhisi Mwili Wako Kila Kona Tafuta headphones Ambazo Hazina Base Sana Wala Sterio Sana Hakikisha Hauna Baridi Wala Joto Mwili.. Hakikisha Hukereki Na Chochote Weka Distance Kama Mnalala Wawili Na Usimguse Mwenzio Wakati Una meditate... Hakikisha Vazi Lako Liwe Night Dress Au Lolote Lisilo kela Mwili Otherwise you will Find It Hard... Baada Ya Hapo Fumba Macho Yako Taratiibu Na Ukifumba Ufumbe Kweli Usikapue Hata Mara Moja Ukikapua anza Moja Na Ukianza Moja Tayari Umepanic... Kwa Hiyo Ni Vema Uandae Utulivu Wa Hali Ya Juu Ili Beat Isiwe Interrupted Na Sauti Nyingine Yoyote... Binafsi Napenda Kutumia Beats Maana Wengi Always Wana Find Hard Kustop Outer Chatter... Inner Kustop Ni Rahisi Kama Unaweza Kustop Outer Chatter... Baada Ya Kufumba Macho Yako Taratiibu Hakikisha Unavuta Pumzi Sahihi Pumzi Sahihi Namaanisha Vuta Pumzi Bila Kusita Na Toa Bila Kusita beat pia Itakisaidia Kuendesha Pumzi Yako Vema... Kitu Kinachofuta Hapo ni UELEWA TUU.. UELEWA TUU.. UELEWA TUU.. Once you take it serious It Will Take You Serious Too.. Wakati Umefumba Macho Jitahidi Kufanya Kama Unaangalia Sehemu Katikati Ya Nyusi Mbili.. Ukihisi Macho Yanachoka Usifumbue Yaweke Sawa Kisha Angalia Tena Japo Sio Lazima" Fanya Hivyo uelewa tafadhali namaanisha utulivu pia.. Yani Ukihisi hali tofauti mwilini vibration au Mwanga au Kupaa au kutekenywa au kutoka nje ya mwili wewe tulia tu usifikirie kwa nini kimetokea muda ule wala usiweke hisia zako kukifuatilia wewe tulia tu na uelewe kila kinachokujia usivifiate Wacha Vikujie Vyenyewe iwe picha,iwe mtetemo au baridi wewe tulia usicheke wala usihof ni ubongo unajipanga me naita meditation Challenges... Pindi Beat Itakapoisha utaskia Ukimya Mkubwa Sana... Sasa Tulia Vua Taratibu Earphones zako na fumbua macho taratibu sasa waweza kuinuka au kujigeuza au kufanya chochote... Unachotakiwa Kufanya Ni Kuleta Mrejesho Hapa Na Nitakwambia Umefikia Wapi... Mungu Hakuleta Mtu Duniani Kuteseka Bali Kumuabudu.. Isipokuwa sisi tunaenda against na kutesana wenyewe... Karibuni Kwa Maswali...
Naomba Anaejiweza Atuletee Yani Adownload Beat Ya Astral Projection Yenye Lisaa 1 Tuendelee Kufundishana... Tumia Beat Hiyo Ya Mshumaa Kupunguza Msongo Na Mengineyo... Tafadhali Anaeweza Kunisaidia Acopy Then Akapast Kwenye Uzi Wangu Wa Mwanzo Wa Meditation.... Watu Wote Wapate Faida
#Rakims 

Sasa mkuu hapo nimekusoma ukila lishe bora mwili unajengeka unakuwa poa ila sasa sijaelewa tena hapo juu kuna jamaa kasema ukiwa unafanya meditation then unaangalia katikati ya nyusi pale panapokaa third eye sasa utaangalia uku umefumba macho au inabidi ufumbue kiaina lilejicho lakuibia halafu sasa naomba usinichoke mkuu eti ile power ya kupata vision ya jambo litakalotokea inaitwaje na utaiafanyaje kuiendeleza