Mkuu Rakims
Natanguliza samahani kwa kuuliza masuala mengi, mara ya mwisho nilikueza vipi nilifanya meditation kwa nia ya ku activate Third Eye na ukaniambia niendelee na nashkuru kwa kunipa maelekezo zaidi, pia mimi huwa si concentrate what happening during meditation ila huwa najua kwa maana mambo yote hutokea ndani ya mwili wangu so I have to feel it,
Mara ya pili nilifanya meditation hali ilikua ile ile ya ganzi miguuni na mikononi mpaka mkono hupinda kwenye viganja nikiwa kama niko kwenye hewa hivi, ila hali hiyo haikuwa tatizo kwangu ni ya kawaida tu kwani imeshatokea kabla ila nilikua katika Thrd Eye awareness pia nashkuru kwa hatua nilofikia na nilitaka kufikia mbali zaidi yaai hatua nyegine zaidi ila wakati naendelea ku meditate nikiwa kama niko kwenye hewani hivi mguu wa kushoto ukaanza Kubana masals nilistahamili ila nilishindwa nikaamua punic na kutoka kwenyemditation
Sasa naomba msaada wako kwa hayo chini yafuatayo:-
1- Nataka kufika hatua ya mbele zaidi nini nifanye ?
2 - Kwa maelezo yangu ya juzi na leo hii, je nafanya vitu sawa au nakosea katika meditation ?
3 - Kupata masals kwenye miguu au mguu ni sehemu ya meditation ?
4 - Nitarajie vitu gani zaid vinaweza kutokea katika meditation kwa zowefu wako ?
5 - Huwa kihwa kinauma baada meditation kwa sababu kichwa huwa buzy wakati wa meditation je hii ni hali ya kawaida ?
Natanguliza shukrani zangu mkuu Rakims