Mwanzo wa meditation

[10:26, 11/17/2014] Rakims : Bwana Huyu Behind The Scene Yake Yaonyesha Alikuwa Akipenda Sana Kulala Chali Kuwish Kwamba One Day He Will Reach The Moon Lakini Kadri Masiku Yalivyozidi Kwenda Alikuwa Akipenda Kujiambia Kwamba One Day My Dream Will Come True baada ya hapo pindi alipohojiwa what makes him reach the moon alidai ni belief na dreams... kipindi hicho ukiota ndoto watu wanakuona you are sooo druger maana you dream about something impossible....

lakini once he do it kila msayansi alitizama his last words alisema nini bwana huyu jini wakapata "dream come true" hapa ndio porojo za timiza ndoto yako zikaanza...

mimi kabla sijaendelea naomba kuuliza swali wewe una ndoto gani??? ukinijibu nijibu umeiota wapi? ukinijibu nijibu umeiota vipi? mchana au usiku?? kama usiku imetoka moyoni kama mchana imekuja kuja tu mawazoni na kureach huwa ni kazi maana umeiunda unda tu.. sasa baada ya hapo ndio ujifikirie je mimi ni ndoto ipi naota? hadi nafikia kuambiwa nitaitimiza?
 
Lewis Carroll Pia Aliandika Kitabu Cha Alice's Advanture kinachohusu hiyo movie baada ya Kupata Lucid Dream..

#Rakims
 
sorry typing error hapo Sio jini ni JIBU...
 
Hapo bado tupo kwenye ushahidi wa wazi wa lucid dream tunaanza sasa kuingia ndani kabla hatujaenda zaidi kwanza tujue faida na hasara ila yabidi kwanza tujue maana yake nini?


Lucid Dream:

lucid dream ni ule uwezo wa mtu kulala na kupata ndoto na ndani ya ile ndoto akaamka akaanza na kuanza kuipeleka anavyotaka yeye iwe ni present,past au future sio rahisi kama ninavyozungumza but ni rahisi ukijielewa mule ndani ya ndoto kama unavyoyaelewa maneno haya ninayoyaandika...

LUCID DREAM:

Ni kuhama ulimwengu kutoka ulimwengu wa mwili kwenda wa mawazo mawazo yenye tija

sites nyingi sana zimeongelea lucid dreams lakini wengi wanazungumza tu kucopy n paste here is your teacher nawapa mfano wangu huwa naingia mara moja kwa wiki katika ulimwengu huo but not too much maana kuna kuingia deep sana ikatokea ilionitokea kipindi cha mwanzo coz m not a completely master m somehow begginer in mastering... tuko pamoja?
 
Swali Kwenu Ambao Hamuulizi Hata Swali:

Je Kuna Tofauti Gani Kati Ya Deep Meditation Na Lucid Dream??

Cc Pasco Mshana Jr pita huku darasa liendelee...

#Rakims
 
Swali Kwenu Ambao Hamuulizi Hata Swali:

Je Kuna Tofauti Gani Kati Ya Deep Meditation Na Lucid Dream??

Cc Pasco Mshana Jr pita huku darasa liendelee...

#Rakims

mkuu Rakims kuna siku ulisema utafundisha namna ya kuongoza ndoto ndo umeanza ivyo?
 
Last edited by a moderator:
Kwa Wale Wa Lucid Dream... search uzi umeandikwa "Jinsi Ya Kuongoza Ndoto Za Usiku(Lucid Dreams)
 
helo mr Rakim fanya kuendelea maana ukiacha hivi haitasaidia hata kidogo by Ceasar
 
helo mr Rakim fanya kuendelea maana ukiacha hivi haitasaidia hata kidogo by Ceasar

Mbona nipo Hapa Mkuu Naskilizia Matokeo Ya Watu Niendeleze Muongozo....

"Rakims"
 
hii kitu unaeza kufnya ukwa balaah anA tu mdogo mdg matokeo utayaon yn ht mtu kma apnga kukudhuru unaeza muon kitk ndot am mawazo kuanzia mavaz hd sura n ukashangaaa anakuj iv ivo , hili n som ref m nilijifunza humu kisha nkpt muhind mmja muuza sambusa bt mmmh ni shida ana mihela balaah y anakwambia wht we fnd is inner peac bs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…