Mwanzo wa meditation

Ya kuhesabu Nimeanza na 100,99,98 mpaka zéro hakuna,nikaongeza hesabu 200,198,196 mpaka 2 hakuna kitu,na sasa mkuu nimekalili mpaka namba hizo zimekuwa kama wimbo....pls msaada RAKIMS.....!!

Je, Pindi Unapotaka Kuanza Hii Kitu Mapigo Ya Moyo Huwa Katika Speed Au Slow Au Kawaida?
Niambie Ndoto Ya Mtindo Upi Unaiota Mara Kwa Mara Au Umewahi Kuiota Mara Mbili Unayoikumbuka..

#Rakims
 
Mala nyingi mapigo ya moyo huwa slow kwani hufanya aiza Nimemaliza kuoga kama muda huu,saa tano mpaka sita ucku ndio muda wangu wa kulala, lakin pia mala tatu nimejaribu kuweka arm ya saa saba na nusu au nane ili kujaribu nikiamini kuna utulivu mkubwa lakini hakuna kitu mkuu.

Ndoto nyingi huota nasafiri kufuata biashara au pesa....Ndoto hizo hujiludia ludia sana, pia kuna msichana tumeachana miaka Mitano iliyopita huwa pia namuota mala kwa mala kuwa tumekutana maongezi, ni hizo tu mkuu....!!
 

Ndoto Zako Tu Zinaonyesha Hata Third Eye Area Haijaanza Ku Vibrate.. Ila Usikate Tamaa Mkuu Em Anza Kufanya Ya Third Eye Area View From Inside Hii 99.9% Percent Itaamsha Upesi Third Eye Mkuu Takupa Na Binaural Beat Moja Ambaya Itakusaidia Baadae.. Lakini Yataka Zoezi La Macho Mkuu..

#Rakims
 
Hakuna shaka mkuu.....nivute subira kidogo....lakin si niendelee kufanya mazoezi ya namba au yapo mazuri... ?? RAKIMS
 

Hii Ni Baadhi TU Ya Mikao Ya Meditation....!
 
Aiseee swali...
Umesema unakuwa unaangalia katikakati ya nyusi na nyusi... Unaangalia kwa macho kabisa au kwa hisia tu??????????? Unaangalia vp?
 
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…