Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kuhesabu Nimeanza na 100,99,98 mpaka zéro hakuna,nikaongeza hesabu 200,198,196 mpaka 2 hakuna kitu,na sasa mkuu nimekalili mpaka namba hizo zimekuwa kama wimbo....pls msaada RAKIMS.....!!
Mala nyingi mapigo ya moyo huwa slow kwani hufanya aiza Nimemaliza kuoga kama muda huu,saa tano mpaka sita ucku ndio muda wangu wa kulala,lakin pia mala tatu nimejaribu kuweka arm ya saa saba na nusu au nane ili kujaribu nikiamini kuna utulivu mkubwa lakini hakuna kitu mkuu,Ndoto nyingi huota nasafiri kufuata biashara au pesa....Ndoto hizo hujiludia ludia sana,pia kuna msichana tumeachana miaka Mitano iliyopita huwa pia namuota mala kwa mala kuwa tumekutana maongezi,ni hizo tu mkuu....!!
View attachment 175531
Hii Ni Baadhi TU Ya Mikao Ya Meditation....!
Walking meditation hii picha ni ya mwaka 1997 Nan hua Temple South Africa nikiwa mmoja wa wanachuoView attachment 175546
Picha ni kwa niaba ya mtandao
Mkuu mshana hongera sana kwa kuipata hii elimu sasa kupitia hii jukwaa tupe na sisi..
Mkuu mshana hongera sana kwa kuipata hii elimu sasa kupitia hii jukwaa tupe na sisi..
Najitahidi kutoa yale niliyojifunza hasa kupitia uzoefu binafsi lakini pia nami nimejifunza mengi zaidi kupitia kwa wachangiaji Wengine hasa wale waliotoa elimu kubwa ya meditation
Kwa uchache niwataje hawa Rakims Mtambuzi Pasco na wengine wote waliotoa somo la meditation katika uhalisia wake
Nadhani Hivyo Vichwa Vingegawana Majukumu Darasa Lingekuwa Rahisi Na Watu Wengi Wangepata Faida...
#Rakims