Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Samahani mkuu niliyaka jua haya mambo ni mafundisho ya imani fulani ama coz nashindwa elewa vzuri
 
CHAPTER THREE:
AWAKENING THE THIRD EYE

3.1 Jicho La Tatu

Jicho La Tatu Ni Mlango unaofungua nafasi kati ya nguvu yako ya fikra yani mawazo na ulimwengu uliopo ndani yako ambao hauonekani kwa macho ya kawaida..

Pia yaweza kuelezeka kama organi moja wapo inayosaidia mwili wako kuuongoza vema na kuamsha nguvu za ziada..
Kwa hiyo tunaweza kusema ni switch inayotumika kufanya mambo makubwa kwenye mwili makubwa zaidi na ya kuendelea..
Watu wengi wamekuwa wakipata maendeleo baada ya kuamsha jicho lao la tatu, na imekuwa ni msaada wa pekee mwingine wa kumsaidia mtu kuweza kufanya yaliyosahihi na ya maendeleo.. Pia katika ufunguzi wa jicho hili la tatu huwasaidia baadhi ya watu ambao wanakuwa abnormal kuwa vile wanavyotaka wawe pia hutibu matatizo mbalimbani ni mengi na faida ni nyingi taomba niende haraka kidogo ili mambo yasichoshe..
Lakini Kikubwa Kuhusu Third Eye Ni Mlango Wa Kukukutanisha Na Roho Yako..


3.2 Kufungua Kwa Mara Ya Kwanza..

Siku Nzuri Ya Kuanza Ni Kuchagua Siku Ambayo Hutakuwa Na Kazi Yoyote Wala Kwenda Popote Kuwaza Chochote.. I Mean The Bestest Day For Anyone To Start Meditation Is The Day You Feel Bored..

Unaweza Kufanya pekeako au na rafiki zako ukiwa na marafiki huwa ni rahisi zaidi kuliko peke yako, maana waweza kuwaza manyoka nyoka, na siku nzuri ya kuanza katika mwezi ni mwezi mpevu.. Isikuogopeshe sio lazima Kuhofia Kalenda.. Kitu muhimu ni kufanya kwenye Muda Sahihi, Siku Sahihi Saa Sahihi... Unatakiwa Uvae Mavazi Bora Meupe Ni Bora Zaidi Kwepa Kuvaa Meusi..

Kumbuka:
Kwamba Unadeal Na Kitu Kilichopo Usoni Katikati Ya Nyusi Zako..
Pia kumbuka hakuna Kudhania,Kufikiria, kuunda Taswira,Wala Kuwaza Chochote.. Unatakiwa Uache Vitu Vikujie Vyenyewe Maana Ni Vya Kwako..

Kivibrate Huwa Kipo Tu Kwa Kila Mtu Katikati ya nyusi zake hivyo unachofanya ni kukiongeza spidi ili kiweze kufanya kazi vizuri baadae..


Maandalizi:
Chagua Chumba Kilichotulia Ambapo Hakuna Atakae Kubughuzi Kwa Muda Wa Lisaa 1
Sio lazima uwe peke yako unaweza kuwa na rafiki ako ila na yeye awe anafanya zoezi hili pia, hakikisha hakai mtu ambae hafanyi haya..

Washa Mishumaa Izunguke Chumba,
Vua viatu vyako
Fungua mkanda wa kiunoni,
Fungua tie,
Vua saa.. Kisikubane chochote,

Lala chini (natumai hapa nimekujibu mshinyanga kuhusu kulala) lala kwenye sakafu,kapeti,blanket au majilisi sio mbaya mikono yatakiwa usiifunge lakini unailaza pembeni, umelala chali,its preferable to have palms facing upwards.
Miguu haitakiwi kuifunga..
Fumba macho yako.. Fumba macho mpaka mwisho wa zoezi.. Tulia kwa dk 2 hadi 3
Fanya sauti ile ya muungurumu darasa lililopita kwa dk 5 au 10.. (Section 2.4)

Phase 1:
Anza Kupasoma Kwenye Throat Chakra, yani Upaskilizie Au Upaelewe, anza kupumua kwa throat friction kama nilivyoelezea kwenye section 2.1
Paelewe eneo la nyuma ya koo kwa msuguano..

Kuwa muelewa, bila ya kuconcentration unatakiwa uflow with the energy, kama kuna movement inapitapita mwilini mwako au kwenye consciousness let them happen. Endelea kwa dk 5 hadi 10, pumua kwa friction and aware the vibration in the larynx..

Phase 2:
Weka usawa kwenye throat friction, kama ulivyokuwa ukipaskilizia kooni(throat chakra) sasa anza na kupaskilizia katikati ya nyusi, (third eye chakra) remember Don't consertrate watu wengi huconsentrate usifanye hivyo, ukihisi pumzi yako imebadilika kidogo usiirejeshe ilivyokuwa nenda nayo hivyo hivyo, but make sure you maintain some friction in throat hizi Phase 5 zitakukumbusha kuendelea kuwa aware na third eye area.. Unatakiwa ufanye hivi kwa muda wa dk 5 sio lazima kutizama saa..

Phase 3:
Place the palm of your hand in front of the area between the eyebows.. Mkono usiguse ngozi umbali uwe sm3 mpaka 5, au nchi 1 hadi 2.. Kwa madakika kadhaa lala hapo chini huku umefumba macho.. Pumua kwa mkwaruzo wa throat.. Aware between the eyebrows and the palm 1 inch infront of this area....

Phase 4:
Itaendelea....!

Darasa Linapanda Lakini Au Nawaacha??


#Rakims
 
Mhh heee,Naishia hapa kwngne naona naanza kwenda kwny ushirikina,maswala ya Mishumaa,vazi jeupe,mwez mpevu.n-k hayo yenu.
 
Nahisi umenielewa tofauti...mambo kama kuona spirits unahisi ni jambo sawa ka kuoga au kula?

hahahah..! Mkuu umenielewa vibaya i mean Kazi Ya Ubongo ni kila mtu au ni baadhi ya watu ubongo hufanya kazi?

#rakims
 
Ofcoz ni kila mtu..somo me nmelpanda nataman prctise ila najiuliza kama ni kazi za kawaida za ubongo mbona yanataka fanana na mambo ya kiimani kidogo ka hvo kuona spirits coz me hcho ndo chanitsha
 
Mhh heee,Naishia hapa kwngne naona naanza kwenda kwny ushirikina,maswala ya Mishumaa,vazi jeupe,mwez mpevu.n-k hayo yenu.

Yaelekea 1gb Ipo Full Yakupasa Upunguze Vingine.. Mavazi meupe, ukitaka mekundu, kijani, pinki, zambarau.. Wewe tu ila meusi sio mazuri ndio meditation inavyotwambia.

Mshumaa ni kiashiria cha ku calm mind mkuu kama utajihisi confortable waweza kutowasha, ila washa basi hata taa kama mshumaa unaona uchawi.

Uliza ujibiwe dont judge b4 undrstnd 1gb u've gt 2 scan yo memory

#rakims
 
Ofcoz ni kila mtu..somo me nmelpanda nataman prctise ila najiuliza kama ni kazi za kawaida za ubongo mbona yanataka fanana na mambo ya kiimani kidogo ka hvo kuona spirits coz me hcho ndo chanitsha

darasa bado refu mkuu asietaka kuona spirits ana sealing the aura.. Invisible Stuffs Unakuwa Huzioni Mkuu.. Ndio Maana Kuna Aina Nyingi Za Meditation..

#Rakims
 
Mhh heee,Naishia hapa kwngne naona naanza kwenda kwny ushirikina,maswala ya Mishumaa,vazi jeupe,mwez mpevu.n-k hayo yenu.

sorry nimesahau kuhusu mwezi mpevu.. Nimesema sio lazima cha msingi ufanye muda,saa,siku sahihi...
 
Haya sasa ndio mambo tulikuwa tunayahitaji mkuu,
Hizo hapo ni aina tatu za meditation,sasa how to practice?hivyohivyo ulivyoeleza ndio imetosha?
Mkuu Rakims tiririka watu wana mzuka kwelikweli wa haya mambo

Rakims nakubaliana nawe kwa kila kitu lakini naomba niongezee machache
1: changamoto za kifamilia
Lazima kuwe na namna ya kuiandaa familia kuhusu meditation, wengi wetu tunaishi extended families ukikosea kidogo unaweza kujikuta unaitwa chizi mchawi nk

Changamoto ya nidhamu
Msingi mkuu wa meditation ni nidhamu na endurance ! Nidhamu kwenye kila kitu ufanyacho ni lazima uwe na time management unaamka saa ngapi unakula saa ngapi unalala saa ngapi! Ni lazima ujitune kufanya jambo lile lile kila ukifika muda wake

3: changamoto ya chakula
Wengi wetu tunakula ladha na si chakula Leo kitamu utakula sana leo hukipendi unakula kidogo! Lazima uwe na kipimo maalum kisichobadilika kwenye mlo wa aina yoyote

> mazingira ya meditation Tanzania ni magumu sana sana tufanyeje?
Jizoeze hayo ya Rankims hapo juu meditation ni kila kitu kila hali na kila mazingira fanya meditation ukitembea ukila ukidrive chochote ufanyacho contemplate jambo husika kwa wakati husika kwamba wewe ni nani uko wapi na unafanya nini

Ni muhimu na ni lazima kuirudisha akili kwenye jambo husika hapa breathing meditation inafaa kwa mazingira yoyote kwa kuwa una observe pumzi tuu

CC: Mwenekaya Nkulu
 
Shukran! Mkuu Mshana Jr... Kwa Maisha Ya Kitanzania Hii Kitu Ni Ngumu Kiasi Lakini Once Someone Says I Can Be What I Wanna Be Its Easy... So Ni Mtu Mwenyewe Kujitune Kama Ulivyosema...

#Rakims
 
Asante sana rakims..
Nimefurahi kumuona na mshana jr huyu ni mwl mzuri sana nimemsoma huko kwingineko.. please mkuu mshana saidiana na rakims kutupa vitu.
 
Duh.m nljarbu lakini nashindwa.mawazo yanakwama sana katika akili yangu. Nashindwa msaada jamani natanani sana kufanya hii kitu Rakims
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kuweza kama hujaamua halafu mwanzoni anza kidogokidogo kikubwa discipline ndio msingj mkuu

Kwamba displine zero au??na usseme hautaweza, mbna wengine wakielekezwa fresh wanaweza....tusikatshane tamaa khvo wakat mtu ameamua
 
Kwamba displine zero au??na usseme hautaweza, mbna wengine wakielekezwa fresh wanaweza....tusikatshane tamaa khvo wakat mtu ameamua

Niwie radhi hukunielewa nimefafanua kuhusu discipline hapo juu kwenye kila ufanyalo nimetoa mfano wa chakula na muda waweza rudia kusoma!! Hakuna kitu kinachohama kwa supersonic speed kama conscious mind

Mfano hapo ulipo tayari ushawaza zaidi ya mambo kumi kwa kipindi kisichozidi dakika moja sasa unatakiwa kuidiscipline hiyo mind kwa kubaki na kitu kimoja tu kichwani kwa wakati mmoja, kuwa sasa nakula ugali namega tonge natoweza napeleka mdomoni natafuna nameza hivyo hivyo mpaka unashiba hivyo hivyo kwenye kuoga kuvaa kutembea nk nk usifanye hili huku unawaza lile concentrate
 
Jamaa uko fit sana... mi nauliza tu ile ya kitana, apple na kioo.... kuna mdada mmoja nilimwelezea akaenda kuifanya eti akaniona mimi kwenye kioo kama mme wake mtarajiwa.... ni kweli... hii mambo au...

Naomba niambie iko wap hyo uzi au nipe head ikiwezekana ntag kwa hyo thread niifanyie kazi.plzzzzz
 
Back
Top Bottom