CHAPTER THREE:
AWAKENING THE THIRD EYE
3.1 Jicho La Tatu
Jicho La Tatu Ni Mlango unaofungua nafasi kati ya nguvu yako ya fikra yani mawazo na ulimwengu uliopo ndani yako ambao hauonekani kwa macho ya kawaida..
Pia yaweza kuelezeka kama organi moja wapo inayosaidia mwili wako kuuongoza vema na kuamsha nguvu za ziada..
Kwa hiyo tunaweza kusema ni switch inayotumika kufanya mambo makubwa kwenye mwili makubwa zaidi na ya kuendelea..
Watu wengi wamekuwa wakipata maendeleo baada ya kuamsha jicho lao la tatu, na imekuwa ni msaada wa pekee mwingine wa kumsaidia mtu kuweza kufanya yaliyosahihi na ya maendeleo.. Pia katika ufunguzi wa jicho hili la tatu huwasaidia baadhi ya watu ambao wanakuwa abnormal kuwa vile wanavyotaka wawe pia hutibu matatizo mbalimbani ni mengi na faida ni nyingi taomba niende haraka kidogo ili mambo yasichoshe..
Lakini Kikubwa Kuhusu Third Eye Ni Mlango Wa Kukukutanisha Na Roho Yako..
3.2 Kufungua Kwa Mara Ya Kwanza..
Siku Nzuri Ya Kuanza Ni Kuchagua Siku Ambayo Hutakuwa Na Kazi Yoyote Wala Kwenda Popote Kuwaza Chochote.. I Mean The Bestest Day For Anyone To Start Meditation Is The Day You Feel Bored..
Unaweza Kufanya pekeako au na rafiki zako ukiwa na marafiki huwa ni rahisi zaidi kuliko peke yako, maana waweza kuwaza manyoka nyoka, na siku nzuri ya kuanza katika mwezi ni mwezi mpevu.. Isikuogopeshe sio lazima Kuhofia Kalenda.. Kitu muhimu ni kufanya kwenye Muda Sahihi, Siku Sahihi Saa Sahihi... Unatakiwa Uvae Mavazi Bora Meupe Ni Bora Zaidi Kwepa Kuvaa Meusi..
Kumbuka:
Kwamba Unadeal Na Kitu Kilichopo Usoni Katikati Ya Nyusi Zako..
Pia kumbuka hakuna Kudhania,Kufikiria, kuunda Taswira,Wala Kuwaza Chochote.. Unatakiwa Uache Vitu Vikujie Vyenyewe Maana Ni Vya Kwako..
Kivibrate Huwa Kipo Tu Kwa Kila Mtu Katikati ya nyusi zake hivyo unachofanya ni kukiongeza spidi ili kiweze kufanya kazi vizuri baadae..
Maandalizi:
Chagua Chumba Kilichotulia Ambapo Hakuna Atakae Kubughuzi Kwa Muda Wa Lisaa 1
Sio lazima uwe peke yako unaweza kuwa na rafiki ako ila na yeye awe anafanya zoezi hili pia, hakikisha hakai mtu ambae hafanyi haya..
Washa Mishumaa Izunguke Chumba,
Vua viatu vyako
Fungua mkanda wa kiunoni,
Fungua tie,
Vua saa.. Kisikubane chochote,
Lala chini (natumai hapa nimekujibu mshinyanga kuhusu kulala) lala kwenye sakafu,kapeti,blanket au majilisi sio mbaya mikono yatakiwa usiifunge lakini unailaza pembeni, umelala chali,its preferable to have palms facing upwards.
Miguu haitakiwi kuifunga..
Fumba macho yako.. Fumba macho mpaka mwisho wa zoezi.. Tulia kwa dk 2 hadi 3
Fanya sauti ile ya muungurumu darasa lililopita kwa dk 5 au 10.. (Section 2.4)
Phase 1:
Anza Kupasoma Kwenye Throat Chakra, yani Upaskilizie Au Upaelewe, anza kupumua kwa throat friction kama nilivyoelezea kwenye section 2.1
Paelewe eneo la nyuma ya koo kwa msuguano..
Kuwa muelewa, bila ya kuconcentration unatakiwa uflow with the energy, kama kuna movement inapitapita mwilini mwako au kwenye consciousness let them happen. Endelea kwa dk 5 hadi 10, pumua kwa friction and aware the vibration in the larynx..
Phase 2:
Weka usawa kwenye throat friction, kama ulivyokuwa ukipaskilizia kooni(throat chakra) sasa anza na kupaskilizia katikati ya nyusi, (third eye chakra) remember Don't consertrate watu wengi huconsentrate usifanye hivyo, ukihisi pumzi yako imebadilika kidogo usiirejeshe ilivyokuwa nenda nayo hivyo hivyo, but make sure you maintain some friction in throat hizi Phase 5 zitakukumbusha kuendelea kuwa aware na third eye area.. Unatakiwa ufanye hivi kwa muda wa dk 5 sio lazima kutizama saa..
Phase 3:
Place the palm of your hand in front of the area between the eyebows.. Mkono usiguse ngozi umbali uwe sm3 mpaka 5, au nchi 1 hadi 2.. Kwa madakika kadhaa lala hapo chini huku umefumba macho.. Pumua kwa mkwaruzo wa throat.. Aware between the eyebrows and the palm 1 inch infront of this area....
Phase 4:
Itaendelea....!
Darasa Linapanda Lakini Au Nawaacha??
#Rakims