kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Naomba niambie iko wap hyo uzi au nipe head ikiwezekana ntag kwa hyo thread niifanyie kazi.plzzzzz
kuna kitu unataka kuona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba niambie iko wap hyo uzi au nipe head ikiwezekana ntag kwa hyo thread niifanyie kazi.plzzzzz
Niwie radhi hukunielewa nimefafanua kuhusu discipline hapo juu kwenye kila ufanyalo nimetoa mfano wa chakula na muda waweza rudia kusoma!! Hakuna kitu kinachohama kwa supersonic speed kama conscious mind
Mfano hapo ulipo tayari ushawaza zaidi ya mambo kumi kwa kipindi kisichozidi dakika moja sasa unatakiwa kuidiscipline hiyo mind kwa kubaki na kitu kimoja tu kichwani kwa wakati mmoja ....kuwa sasa nakula ugali namega tonge natoweza napeleka mdomoni natafuna nameza hivyo hivyo mpaka unashiba hivyo hivyo kwenye kuoga kuvaa kutembea nk nk usifanye hili huku unawaza lile concentrate
Hiyo one angle view from inside ndo ipi hiyo mkuu? Mi nikianzaga ku concerntrate kwa meditation ya numbers inafikia kipindi nahisi kama vitu vitu vinatembea tembea mwilini/kwenye mishipa ya damu alafu mbele yangu kama mawingu napishana nayo muda mwingine kama napenya kwenye miti au Milima kwa kasi ya ajabu.ni kweli Ngumu Mara Ya Kwanza Mimi Pia Kipindi Naanza Hizi Mambo Nilikuwa Nikiona Ngumu Mfano Hakuna Hasa First Opening Ilinipa Hope Maana Zote Zilinishinda Nikatumia One Angle View From Inside Ndio Mara Yangu Ya Kwanza Siku Ya Kwanza Husikia Furaha Na Faraja Kubwa Akilini Pia Moyoni Na Mtu Hujiona Kama Kaamka Kutoka Usingizini...
#Rakims
Hiyo one angle view from inside ndo ipi hiyo mkuu? Mi nikianzaga ku concerntrate kwa meditation ya numbers inafikia kipindi nahisi kama vitu vitu vinatembea tembea mwilini/kwenye mishipa ya damu alafu mbele yangu kama mawingu napishana nayo muda mwingine kama napenya kwenye miti au Milima kwa kasi ya ajabu. Sasa sijui ni mawazo yangu au ndo naelekea huko kwenye ulimwengu wa kiroho maana inafikia hatua naogopa na kuacha kuendelea/ nafungua macho.
Nisaidie kwa hili mkuu maana niko njia panda
Unaenda vizuri mno hukupaswa kuacha hizo picha ni illusions za conscious mind ambapo ukiendelea kila siku mwisho utajikuta unatembea tambarare tu
1. Mnaposema muda sahihi na siku sahihi nini maana
yake?
2. Hiyo mishumaa inawekwa kila kona? Na kama kila
kona? Vp chumba kama kimejaa fanicha?
3. Kwa sisi wenye familia ukweli kelele haiwezi kuisha
kabisa nyumba.. je ni lazima iishr kabisa.
4. Sipendi mke wangu ajue kwa sasa mpaka ntakapokuwa
nimeimaster,, je kuifanya kwa kujificha ni sawa?
5. Je naweza kufanya siku nzima (kung'anganiza) mpaka
niweze.
6. Umesema wakati mwingine yanaweza kuona manyoka
vp yakionekana nini cha kufanya. ?
7. Siwezi kulukwa akili????
Kazi njema.
hata me nilijaribu iyo ya number na sikuona kitu nikamaliza bila kukosea kama alivyoeleza mkuu Rakims izo zingine bado sijaanza kutokana na mazingira tata niliyopo ila ya number nimeona ni rahisi.
hutakiwi Kukata Kata Pumzi Hutaona Chochote Wala Haitakiwi Ijirudie Kama Mwangwi Pembeni Ya Moyo.. 100 pumzi ipo ndani 99 pumzi ipo nje, 98 pumzi ipo ndani, 97 pumzi nje... Hii Usiconcentrate Acha Zijilete Namba Pia.. Mwanzo Mgumu Mkuu Baada Ya Mara Mbili Tatu Utaona Mabadiliko...