Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Kwamba displine zero au??na usseme hautaweza, mbna wengine wakielekezwa fresh wanaweza....tusikatshane tamaa khvo wakat mtu ameamua

Mkuu Huo Ni Ubongo Wako Unauwezo Wa Kuucontrol Sio Kweli Mtu Akwambie Huwezi.. Ni Sawa Na Mtu Kuwambia Huwezi Kuuelekeza Mwili Unavyotaka...

#Rakims
 
Niwie radhi hukunielewa nimefafanua kuhusu discipline hapo juu kwenye kila ufanyalo nimetoa mfano wa chakula na muda waweza rudia kusoma!! Hakuna kitu kinachohama kwa supersonic speed kama conscious mind
Mfano hapo ulipo tayari ushawaza zaidi ya mambo kumi kwa kipindi kisichozidi dakika moja sasa unatakiwa kuidiscipline hiyo mind kwa kubaki na kitu kimoja tu kichwani kwa wakati mmoja ....kuwa sasa nakula ugali namega tonge natoweza napeleka mdomoni natafuna nameza hivyo hivyo mpaka unashiba hivyo hivyo kwenye kuoga kuvaa kutembea nk nk usifanye hili huku unawaza lile concentrate

ni kweli Ngumu Mara Ya Kwanza Mimi Pia Kipindi Naanza Hizi Mambo Nilikuwa Nikiona Ngumu Mfano Hakuna Hasa First Opening Ilinipa Hope Maana Zote Zilinishinda Nikatumia One Angle View From Inside Ndio Mara Yangu Ya Kwanza Siku Ya Kwanza Husikia Furaha Na Faraja Kubwa Akilini Pia Moyoni Na Mtu Hujiona Kama Kaamka Kutoka Usingizini...

Hiyo one angle view from inside ndo ipi hiyo mkuu? Mi nikianzaga ku concerntrate kwa meditation ya numbers inafikia kipindi nahisi kama vitu vitu vinatembea tembea mwilini/kwenye mishipa ya damu alafu mbele yangu kama mawingu napishana nayo muda mwingine kama napenya kwenye miti au Milima kwa kasi ya ajabu.

Sasa sijui ni mawazo yangu au ndo naelekea huko kwenye ulimwengu wa kiroho maana inafikia hatua naogopa na kuacha kuendelea/ nafungua macho.

Nisaidie kwa hili mkuu maana niko njia panda
 
Hiyo one angle view from inside ndo ipi hiyo mkuu? Mi nikianzaga ku concerntrate kwa meditation ya numbers inafikia kipindi nahisi kama vitu vitu vinatembea tembea mwilini/kwenye mishipa ya damu alafu mbele yangu kama mawingu napishana nayo muda mwingine kama napenya kwenye miti au Milima kwa kasi ya ajabu. Sasa sijui ni mawazo yangu au ndo naelekea huko kwenye ulimwengu wa kiroho maana inafikia hatua naogopa na kuacha kuendelea/ nafungua macho.
Nisaidie kwa hili mkuu maana niko njia panda

Unaenda vizuri mno hukupaswa kuacha hizo picha ni illusions za conscious mind ambapo ukiendelea kila siku mwisho utajikuta unatembea tambarare tu
 
Unaenda vizuri mno hukupaswa kuacha hizo picha ni illusions za conscious mind ambapo ukiendelea kila siku mwisho utajikuta unatembea tambarare tu

hata me nilijaribu iyo ya number na sikuona kitu nikamaliza bila kukosea kama alivyoeleza mkuu Rakims izo zingine bado sijaanza kutokana na mazingira tata niliyopo ila ya number nimeona ni rahisi.
 
Last edited by a moderator:
1. Mnaposema muda sahihi na siku sahihi nini maana
yake?
2. Hiyo mishumaa inawekwa kila kona? Na kama kila
kona? Vp chumba kama kimejaa fanicha?
3. Kwa sisi wenye familia ukweli kelele haiwezi kuisha
kabisa nyumba.. je ni lazima iishr kabisa.
4. Sipendi mke wangu ajue kwa sasa mpaka ntakapokuwa
nimeimaster,, je kuifanya kwa kujificha ni sawa?
5. Je naweza kufanya siku nzima (kung'anganiza) mpaka
niweze.

6. Umesema wakati mwingine yanaweza kuona manyoka
vp yakionekana nini cha kufanya. ?

7. Siwezi kulukwa akili????

Kazi njema.
 
ha ha ha! maswali mazuri iyo ya kelele nazani inaharibu concentration, ngoja wenyewe waje.
 
hata me nilijaribu iyo ya number na sikuona kitu nikamaliza bila kukosea kama alivyoeleza mkuu Rakims izo zingine bado sijaanza kutokana na mazingira tata niliyopo ila ya number nimeona ni rahisi.

hutakiwi Kukata Kata Pumzi Hutaona Chochote Wala Haitakiwi Ijirudie Kama Mwangwi Pembeni Ya Moyo.. 100 pumzi ipo ndani 99 pumzi ipo nje, 98 pumzi ipo ndani, 97 pumzi nje... Hii Usiconcentrate Acha Zijilete Namba Pia.. Mwanzo Mgumu Mkuu Baada Ya Mara Mbili Tatu Utaona Mabadiliko...

#Rakims
 
Last edited by a moderator:
hutakiwi Kukata Kata Pumzi Hutaona Chochote Wala Haitakiwi Ijirudie Kama Mwangwi Pembeni Ya Moyo.. 100 pumzi ipo ndani 99 pumzi ipo nje, 98 pumzi ipo ndani, 97 pumzi nje... Hii Usiconcentrate Acha Zijilete Namba Pia.. Mwanzo Mgumu Mkuu Baada Ya Mara Mbili Tatu Utaona Mabadiliko...

#Rakims

nimekuelewa mkuu hii nimeipenda.
 
1. Mnaposema muda sahihi na siku sahihi nini maana
yake?
2. Hiyo mishumaa inawekwa kila kona? Na kama kila
kona? Vp chumba kama kimejaa fanicha?
3. Kwa sisi wenye familia ukweli kelele haiwezi kuisha
kabisa nyumba.. je ni lazima iishr kabisa.
4. Sipendi mke wangu ajue kwa sasa mpaka ntakapokuwa
nimeimaster,, je kuifanya kwa kujificha ni sawa?
5. Je naweza kufanya siku nzima (kung'anganiza) mpaka
niweze.

6. Umesema wakati mwingine yanaweza kuona manyoka
vp yakionekana nini cha kufanya. ?

7. Siwezi kulukwa akili????

Kazi njema.

unaweza Ukahisi Manyoka Nyoka Sio Yanaonekana Manyoka Akili Za Watu Zina Makelele Hivyo Waweza Imagine Vitu Vya Kutisha Ndio Maana Tunasema Waweza Kuona Manyoka Nyoka.

Kujificha-hata waliofanikiwa huwa hawapendi kuzungumzia hii kitu kwa kuona mnaweza kutokea watu mna masters ya mawazo mkawazidi hiyo ni chaguo lako, mishumaa Kama Utahisi Kuwa Comfortable Na Taa Achana Na Mishumaa.. Ila usiwe mtu wa kureact kabla ya kutambua.

Waweza fanya meditation siku hiyo ukafanikisha kuingiza charge mwilini gafla ukafumbua macho ukaona giza utataka ufikinye macho moyo ukudunde huon kumbe umeme umekatika,, mkuu wewe ni begginer huwezi kufanya sehemu yenye kelele.. How you expect to stop outer chatta?

Ni ngumu kwa begin kustop hata inner chatta, ndio maana tunawapa namba n.k.. Swali ambalo cjajibu uliza.. Muda sahihi na saa sahihi ni ule wakati huna shughuli utakayo iwaza kwamba nikitoka hapa nikafanye hiki...

#Rakims
 
CONCENTRATE: HAITAKIWI

Consentration - haitakiwi!

Visualization - haitakiwi

Imagination - haitakiwi...

Only AWARENESS,AWARENESS,AWARESS wakuu eleweni haya na mkumbuke kila muda..

Mshinyanga watu wanamaliza siku mbili wanameditate super masters hukaa zaidi ya wiki anameditate hali hanywi.. Hii Meditation Ni Very Powerfull Body Functional Controller...

#Rakims
 
Jipime:
Ikiwa Kichwa Chako Kina Makelele..

Tafuta Sehemu Iliyokimya Zaidi Ya Kimya Usiku Kaa Mule Kama Ni Chumba Funga Mlango Madilisha Lala Chali fumba macho legeza mwili.. Dk 1 sikiliza Kichwa Chako Kinavyopiga makelele....
1: utahisi maskio yameziba,

2: utasikia watu wanacheka,

3: wengine wanalia

4: wengine wanafoka,

5: mwingine anatukana

6: mwingine anakuita

7: tuvitu hatujulikani tunakuja kama kukupiga usoni.

8: tumbo linaunguruma..

9: watu wanakuzomea..

10: wengine wanakufyonza..

Huta Chukua Round Utafungua Macho Ukiangalia Hamna Mtu Wala Chochote Ukifumba Tena Vimepotea Pale Unatakiwa U Time Before It Times You.. Utaona Vitu Ulivyojaza Kichwani Ukimaliza Utacheka Wakati Ni Usiku Panatisha.. Hutakiwi Kufungua Macho Ukifumba Visikilize Hadi Utosheke..

Onyo:
Waoga Na Wanaoangalia Movies Za Kutisha Msijipime Hivi.. Maana Kinachotokea Huwa Ni Mchanganyiko Wa Sura Za Vile Viuchafu Ulivyoangalia mara tatu yake yani ubongo wako umevitunza halafu unavikuza...
Usijitingishe wakati unavienjoy vitakata kuonekana..

#Rakims
 
Unaenda vizuri mno hukupaswa kuacha hizo picha ni illusions za conscious mind ambapo ukiendelea kila siku mwisho utajikuta unatembea tambarare tu

Thanks brother. Leo nitajitahidi
 
RAKIMS mi ni kati ya wanafunzi wako ambao tumeathirika sana na hali halisi ya mazingira, Darasa tamu tena tunaelewa sana, kikwazo ni hizo kelele.

Hebu tujibu na Mshinyanga kama inaruhusiwa kuziba masikio kwa namna yoyote ili mradi nisibane sana nikapata maumivu....!!
 
Back
Top Bottom