mshinyanga
Member
- Aug 3, 2014
- 42
- 22
Ni kweli mkuu lkn kwa mshana namuamini anaweza kujitolea. Nimesoma michango yake huko nyuma sana. Alisha toa wazo la kuji organise kisha kutafuta sehemu ya maalum kwa zoezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu lkn kwa mshana namuamini anaweza kujitolea. Nimesoma michango yake huko nyuma sana. Alisha toa wazo la kuji organise kisha kutafuta sehemu ya maalum kwa zoezi.
Hakuna hata swari kutoka kwa wanafunzi.. ??
Mkuu Rakims darasa lako limefanya niingie jf rasmi,nilikuwa napitaga tu kwny hii shule yako....
Binafsi nimejitahid kupractice tangu niliukuta huu uzi kwa pasco na jana nilipata matokeo yafuatayo:
1.ile vibration ilikuwa kubwa sana na niliivumilia
2.nilianza kuzisoma baadhi ya chakra(nisahihishe),heart chakra&throat chakra.
Maswali....
1.nilitoka kwny meditation ila sehem ya third eye iliendelea kuvaibrate kwa muda then inaacha,je ni sawa/mwanzo mzuri au ni tatizo?
2.kipindi nameditate ilifikia stage(ile vibration) ilitambaa mwili mzima,je ni sawa?
3.naweza kupata picha/au ukanielekeza pahala kila chakra inapopatikana?
4.naweza kufanya kwa mda gani? Kwani jana nilianza 9:30 ila nilipomaliza(baada ya kuwa sawa) ilikuwa ni saa 12:15,je nimejiover dose?(jana ni cku ya 7 kujaribu hii mambo)
Ntarudi kukueleza ndoto nilizoota...Ahsante na ubarikiwe sana.
Duuhh sijui sijaelewa, nimeogopa kwakweli..
Rakims ktk maelezo ya bro wako umesema mlimkuta akiwa ktk meditation mkamsemesha hakujibu amekuja zinduka baada ya kumhesabisha namba. Vp msingemzindua angekaa mpaka lini????
Kwa nini nimeuliza maana wengine tunafanya mazoezi wenyewe pekee bila mtu kujua,, itakuaje ikiwa ntakuwa ktk hali kama aliyokuwa nayo bro wako????
Fafanua kwa uzuri kabisa mwalimu..