Mwanzo wa meditation

Mwanzo wa meditation

Mkuu Rakims darasa lako limefanya niingie jf rasmi,nilikuwa napitaga tu kwny hii shule yako....
Binafsi nimejitahid kupractice tangu niliukuta huu uzi kwa pasco na jana nilipata matokeo yafuatayo:
1.ile vibration ilikuwa kubwa sana na niliivumilia
2.nilianza kuzisoma baadhi ya chakra(nisahihishe),heart chakra&throat chakra.

Maswali....
1.nilitoka kwny meditation ila sehem ya third eye iliendelea kuvaibrate kwa muda then inaacha,je ni sawa/mwanzo mzuri au ni tatizo?
2.kipindi nameditate ilifikia stage(ile vibration) ilitambaa mwili mzima,je ni sawa?
3.naweza kupata picha/au ukanielekeza pahala kila chakra inapopatikana?
4.naweza kufanya kwa mda gani? Kwani jana nilianza 9:30 ila nilipomaliza(baada ya kuwa sawa) ilikuwa ni saa 12:15,je nimejiover dose?(jana ni cku ya 7 kujaribu hii mambo)

Ntarudi kukueleza ndoto nilizoota...Ahsante na ubarikiwe sana.
 
Mkuu Rakims darasa lako limefanya niingie jf rasmi,nilikuwa napitaga tu kwny hii shule yako....
Binafsi nimejitahid kupractice tangu niliukuta huu uzi kwa pasco na jana nilipata matokeo yafuatayo:
1.ile vibration ilikuwa kubwa sana na niliivumilia
2.nilianza kuzisoma baadhi ya chakra(nisahihishe),heart chakra&throat chakra.

Maswali....
1.nilitoka kwny meditation ila sehem ya third eye iliendelea kuvaibrate kwa muda then inaacha,je ni sawa/mwanzo mzuri au ni tatizo?
2.kipindi nameditate ilifikia stage(ile vibration) ilitambaa mwili mzima,je ni sawa?
3.naweza kupata picha/au ukanielekeza pahala kila chakra inapopatikana?
4.naweza kufanya kwa mda gani? Kwani jana nilianza 9:30 ila nilipomaliza(baada ya kuwa sawa) ilikuwa ni saa 12:15,je nimejiover dose?(jana ni cku ya 7 kujaribu hii mambo)

Ntarudi kukueleza ndoto nilizoota...Ahsante na ubarikiwe sana.

Kwanza Nakupa Hongera Mkuu Kwa Kuweza Kuvibrate Third Eye Area Mpaka Umemaliza Meditation Na Third Eye Inaendelea Kuvibrate Mkuu Hongera Sana Means Third Eye Start Functioned Yani Nimetamani Wanafunzi Wote Hapa Wangeweza Tu Hata Kuvibrate Third Eye Area....

Hujakosea Kitu Mimi Brother Wangu Siku Ya Kwanza Kuanza Sisi Tulikata Tamaa Nusu Saa Ya Mwanzo Ila Yeye Alitwambia

"Wherever Theres A Will Theres A Way" Wherever Theres A Way Theres A Will"

Tuliona Upuuzi Na Mateso Akat wambia Tumuhesabie 5-1 ataingia All Chakras Ingawa Yeye Ni Begginer Na Atatuonesha Pia Akasema

"I Will Meet With You Guys In Evening & You Will Find Me Here"

Tukaenda Swimming Saa 6 mchana Yeye Akabakia Ndani, Jioni saa 12 tunarudi Home Tukakuta Milango Imefungwa Kwa Ndani Haikuwa Locked Kufungua Tukamkuta Katikati Ya Sitting Room Kakaa Meditation Pose Huku Katulia Tukamuamstua Hakustuka Tukaanza Kumwambia

"Brother Follow Our Voices, You Are Dreaming Wake Up, When We Count 5 To 1 U Have To Push Three Deep Breath If You Can Hearing Us"

Tukakaa 5 Seconds Tukamuhesabia Kwa Pamoja 5-1 akatake Three Deep Breath Tukamwambia

"Ok Bro Its Time To Wake Up, When We Count 5 To 1 u Have To Wake Up"

Tukahesabu Akafumbua Macho Na Kuvuta Pumzi Ndefu Akakaa Sawa alivyotuhadithia Ni Mengi Akatwambia Ana Powers Mbili Ambazo Zimefunguka Na Anaweza Kuzidhihirisha
1: Telepathy 2: Locate Of An Object... Ambazo Ni Very Powerful....

Yule Bro Wangu Mwingine Akamwambia

"Don't Lie Brother If Your A Powerful Telepathy For One Day Tell Me What I'm Thinking"

Akamwambia:

"You Have A Phone Contact Of Aaliyah, And You Still Thinking How Can You Start Contact Her Also You Saying That I'm Dick My Miselable Life Changing Me To be Stupidity"

Mkuu Huwezi Kuamini Ndicho Alichokuwa Anafikiria Yule Bro Na Dem Tumekutana Nae Mara Moja.. Nami Nikataka Ku prove Nikamwambia

"If What You Said Is Truth Tell Me Which Numbers I'm Thinking Not What I'm Thinking Please I'll Hate You"..

Akajibu

"27,26,25,24,23"

Jombaa Tulimkimbia Tukaenda Kuita Teacher Wetu Akaja Kuprove Akasema Kumwambia Bro

"You Have A Very Very Powerful Telepathy Brain"

yule Teacher Akatwambia Mguseni Third Eye Area.. Kulikuwa Na Vibration Kama Ya Simu.. Alibebwa Na Wazungu Yupo Chuoni Sasa Hivi Anafundisha Mkuu....

#Rakims
 
Nafasi Nyingine.. Meditation Group On WhatsApp at Jamii Intelligence.. Search Group Hio Weka Namba Yako Tuna Wanafunzi 9 Mpaka Sasa Zimebaki Nafasi 41 Group Lianze Karibuni Soma Kwanza Masharti Ndio Utupie Namba Zako...!

#Rakims
 
Mkuu RAKIMS nataman sana japo niwe kama barahambaraye,natamani kutoa mrejesho nyuma unisifie... Pls nifundishe mkuu....!!
 
Duuhh sijui sijaelewa, nimeogopa kwakweli..
Rakims ktk maelezo ya bro wako umesema mlimkuta akiwa ktk meditation mkamsemesha hakujibu amekuja zinduka baada ya kumhesabisha namba. Vp msingemzindua angekaa mpaka lini?

Kwa nini nimeuliza maana wengine tunafanya mazoezi wenyewe pekee bila mtu kujua, itakuaje ikiwa ntakuwa ktk hali kama aliyokuwa nayo bro wako?

Fafanua kwa uzuri kabisa mwalimu..
 
Duuhh sijui sijaelewa, nimeogopa kwakweli..
Rakims ktk maelezo ya bro wako umesema mlimkuta akiwa ktk meditation mkamsemesha hakujibu amekuja zinduka baada ya kumhesabisha namba. Vp msingemzindua angekaa mpaka lini????

Kwa nini nimeuliza maana wengine tunafanya mazoezi wenyewe pekee bila mtu kujua,, itakuaje ikiwa ntakuwa ktk hali kama aliyokuwa nayo bro wako????

Fafanua kwa uzuri kabisa mwalimu..

Yani Pale Alikuwa Akifanya Kila Baada Ya Dk 60 Anatoka Anaanza Tena..! Pili Tulipomkuta Hatukujua Kama Alikuwa Anafanya Na Kuzinduka Maana Tulimkuta Vile Tulivyomuacha.. It Means Tulichofanya Sisi Ni Kumzindua Hata Wewe Ukimkuta Mtu Anafanya Meditation Unatakiwa Umzindue Kwanza Ndio Uzungumze Nae Vinginevyo Utamuita Sana Ni Mfano Wa Mtu Anaelala Fofofo.

Unapotaka Kumuamsha Watakiwa Umtikise Kidogo Asipokuskia Unaanza Kumwambia Afuate Sauti Yako Inapotoka Haitachukua Muda Atafumbua Macho.. Pia Nilisema Kama Mtu Unafumbua Macho Unahisi Hayafumbuki Unagonga Kidole.

Njia Ya Kugonga Kidole Hunisaidia Sana Kutoka Hata Kwenye Ndoto Mbaya Na Mawazo Au Maumivu Ya Kichwa Pia...

#Rakims
 
Mkuu Mshinyanga Mimi Kila Ndoto Ninayoota Hufahamu Kama Naota Na Nitakuja Kufundisha Jinsi Ya Kuongoza Ndoto Utakavyo Siku Zote Waweza Kuwa Mwenye Furaha Ukijua Kuongoza Ndoto Ni Raha Sana, Unafanya Chochote Unachojiskia....

#Rakims
 
Wakuu Kwenye Group Nafasi Zimechukuliwa 26, Zimebaki 24, inapofika Idadi Kamili Group Litaanza.. Panapo Majaaliwa Asubuhi Ya Leo Darasa Linaendelea..

#Rakims
 
Nimejifunza kitu humu nilikuwa naangaliaga tu movie za maBudha nikajua ni Imani zao,, nataka kujifunza rasmi ila naomba mwenye link ya uzi wa Pasco mshanajr wauweke au unaitwaje tuangalie na wenyewe

Big up mkuu Rakims
 
Last edited by a moderator:
Shukran sana ndugu yangu,nitakaza uzi na leo ili niendelee kuziamsha power zilizopo ndani.

Naomba kuelimishwa kitu hapa,mie nina uwezo wa kusolve tatizo lolote utakalonieleza.Mfano, umenieleza nikupe ushauri, ukinieleza tatizo mi huwa napata picha ya tatizo lilipoanzia(na unakubali ni kweli),je hiyo power ipo kwenye kundi lipi?

Vile vile nnaweza kukuangalia nikajua unachowaza,au mtu kuniambia flani alikiwa akikusema, bila kunieleza alichosema ukinieleza mtu tu nakuambia alichozungumzia...ni power ipi na nifanye nini kuipa nguvu na kuicontrol?

Bila kusahau nikiwa na shida(hasa pesa) nikiwaza kidogo nampata ambae nikimwambia shida yangu atanisaidia na nikimueleza fasta ananigea kile kile kiasi nilichokihitaji...hii pia ni nguvu ipi na nitaiongoza kwa njia ipi?

Nilipofanya meditation ya kuopen third eye nilisoma chakra zifuatazo(nilitumia throat chakra kuifungua)...nilipata vibration kwenye third eye area,eneo la katikati ya mdomo na pua(ni chakra ipi hii),chini kidogo ya kifua(ni chakara gn hii),maeneo ya moyo,na eneo la kitovu...je hizi ni chakra? Na ni zipi?
Natanguliza shukran
 
Back
Top Bottom